Mizambwa bwana! Cku zote huwa napenda sana comment zako! Ila unabii utarajiwa vipi? Siku hizi umekuja kivingine,inakuuma sana!
Yaani hapa JF kuna katabia cha kuanzisha UZI ili mtu aonekane kuwa naye anajua kuanzisha Mada. Kuna mtindo wa baadhi yetu kuharibu mijadala ya hapa kwa kuchukua mada zilizojadiliwa siku ya nyuma na kuileta upya ili tu aonekane na yeye ameanza.
HII MADA ILIJADILIWA KWA KIREFU SANA WIKI hii KABLA JF HAIJAFUNGWA KWA MATENGENEZO. NA MH. HALIMA MDEE ALIICHANGIA kwa KIREFU SANA.
Sasa kama waungwana tumekosa mambo ya kuandika, ni kwanini tusichangie au kusoma tu kwa kuhabarika mada za wengine ambazo ni mpya, kuliko kuturudisha nyuma.
TAFAKARI KABLA YA KUWEKA uzi MPYA HAPA; MNATUCHOSHA NA KUTUHARIBIA UMAKINI WETU KATIKA KUFIKIRIA MAMBO YA KUCHANGIA KWA KUWA NA HOJA ZISIZOKUWA na MIGUU WALA MASIKIO.
MIZAMBWA
INANUMA SANA!!!
Wananchi hawana jema Kazi Yao kulalama kila Siku. Majimbo karibu yote wanalalama. Ishu sio kutembelea suala ni kutatuliwa kero zao, I hope yupo Katibu wake anafanya Kazi hii.Siku moja nilitembelea maeneo ya madale nikapita kijiwe kimoja nikaweka kijiwe na mie kujua nini kinaendela vijana wanalalamika kuwa tangu Halima apate Ubunge hajaonekana huko ,Na mmoja akakazia wewe mwache tu tunasubiri 2015Halima please fanya fanya ziara kwa wapiga kura wako
kweli kabisa firstlady1, akidhani amesimama aangalie asianguku, awaangilie akina sugu, zito, mbowe, mnyika, na wengine, mbona tunawasikia majimboni mwao? au ndo kaisha uchoka ubunge?Siku moja nilitembelea maeneo ya madale nikapita kijiwe kimoja nikaweka kijiwe na mie kujua nini kinaendela vijana wanalalamika kuwa tangu Halima apate Ubunge hajaonekana huko ,Na mmoja akakazia wewe mwache tu tunasubiri 2015
Halima please fanya fanya ziara kwa wapiga kura wako
Wewe mbona huonekani kwenye familia yako?unakuja usku unaondoka usku?kulikoni?
Ni masikitiko kwa wana Kawe, Mbunge Halima Mdee umekuwa huonekani jimboni mwako hasa majira ya mchana. Umekuwa ni mtu wa kutoka alfajiri ili ukimbie kuonana na wapiga kura, unarudi usiku wa manane.
Kwa kweli waliokushauri uchukue ubunge wa jimbo walifanya makosa makubwa, uwezo wako ni kuwa MBUNGE wa Viti Maalum. Tunakushangaa zimebaki siku chache kwenda kikao cha BAJETI, Dodoma, HAUJATHUBUTU kupita kwa wapiga kura kukusanya maoni ili uyawakilishe BUNGENI. Kwa taarifa yako TUMEKUCHOKA SANA pamoja na chama chako!!
Hapo kwenye bold ya mwanzo ndio wadudu gani hao? Na hapo kwenye bold ya pili:Kama huyo hawara wa Mkwerre alikuwa msikivu na mfuatiliaji je, Halima Mdee angekuta kero hizi zinazotamkwa? Kwa Tz lolote linawezekana, kwani kama Mkwerre hakuwahi kuwa msikivu na bado "alishinda" kimagumashi kwenye uchaguzi mkuu uliopita, ishindikane vipi kwa hawa wateule wa wananchi?Halima Mdee + John Mnyika = Hodari wa kupiga maneno, UFUATILIAJI ni ZERO. Wabunge hawa wameshajijua 2015 hawarudi mjengoni hivyo wanashughulika na mambo yao binafsi kuliko kusikiliza na kufanyia kazi kero za wananchi.
Wananachi wa ubungo wanajuta kumpa kura Mnyika, wa Kawe wanasema afadhali enzi za Rita Mlaki alikuwa msikivu na mfuatiliaji
tafuta barua ya Halima aliyomuandikia waziri wa ardhi baada ya jk kurecycle baraza la mawaziri, ipo humu humu na majibu yako yote utayakuta huko