Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,523
- 146,044
na hizi ndio bei gani Nyani Ngabu?? maanake mtu anaweza kuaga anaenda msalani akatokomea!!!
Kwani vipi? Bei za colognes zimekutisha hadi uanze kuulizia na bei za ulabu? Hizo siyo Cristal bana...zinamudika!