Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,914
- 11,330
Daaah siku ya kwanza demu ana agiza Captan Morgan mzinga mkubwa tena anamsisitiza waitress ampatie na Sprite ya kuchanganyia then kwa sauti kali ana anamuita kaka wa jikoni aende amkaangie makange akisisitiza usisahau kuunga mbilimbi!
Kuagiza kote huko mm nikajua atatoa hela zake kumbe mhhhh
Kuagiza kote huko mm nikajua atatoa hela zake kumbe mhhhh