What drink would you like her to have on first date?

What drink would you like her to have on first date?

Why should she take a drink of your choice? Shouldnt she be the one to choose what she wants? Ndo maana mnapataga disappointments baadae, mnataka watu wapretend. Let her be, ujue kabisaa kama unayaweza hayo maji kabla haujasaula!
Hebu tulizana huko khaaaa! !!!!!

Sasa kama mie kwa mfano nakupa kidate then ikija kwa vinywaji uagize hiyo kitu yaani najua kabisa hapa hata hug tu sitaki!!!!!

Ile thankyou kwa kunitoa huku mmekumbatiana anakuangalia usoni aaaaaaaargh mtoto kapooo!!!!
 
Maziwa fresh ya moto with a dash of coffee. Nayo ni sawa? Manake una masheriti kama unamnunua mtu!

Kumbe unajua mambo ya coffee aroma sasa kujitingisha na midubwasha ya nini???!!!!!
Usawa huu bado utoke na.mtu then ujutie muda na.kila kitu na hatred mtayoachiana hapo!!!!???

No way kama mbwai iwe mbwai mapeeeeeema sio masuala ya kuweka stock ya chewing gums just in case au sijui wenyewe wanakulaga ndizi eti imagine nane usiku na ndizi mbivu!!!!!!!! Ili iwe nini???!!!
 
Mie naishiaga na bitter lemon tu... lakini siku loja moja huwa natupia mojito without rum
 
Why should she take a drink of your choice? Shouldnt she be the one to choose what she wants? Ndo maana mnapataga disappointments baadae, mnataka watu wapretend. Let her be, ujue kabisaa kama unayaweza hayo maji kabla haujasaula!

umeona eeh...me mirinda nyeusi wamesema watamind eti...wkt me ndo nayotumiaga hehe
 
Mmmmmh unless uko obsessed by the way hata pombe situmii ila nimeambiwa na wanywaji wakweli na nimedate wanaotumia ,huwezi fananisha hiyo kitu na wine,amarula,smirnoff na vitu mchanganyiko!!!!!!!!

To me inanuka and will never kiss a chic takin the cider by that name!!!!!

Its depends how many bottles u take .. to me cwezi kunywa zaidi 2 bottles ndio maana naona kwangu hazinuki.
It seems dat u don't like cider thing lol!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom