What drink would you like her to have on first date?

What drink would you like her to have on first date?

Yaani wewe ni maasai kabisaa! I know one when i see one coz i am one!

Hebu tulizana huko khaaaa! !!!!!

Sasa kama mie kwa mfano nakupa kidate then ikija kwa vinywaji uagize hiyo kitu yaani najua kabisa hapa hata hug tu sitaki!!!!!

Ile thankyou kwa kunitoa huku mmekumbatiana anakuangalia usoni aaaaaaaargh mtoto kapooo!!!!
 
konyagi nakumbuka pia un'geng'e nilitema af kawa muonei noma mbona alielewa somo ikawa kamshange oya. oya
 
You are in
Don't forget meeeee

Usijali. Utarudi intact ila sasa ukipata crash tunakuacha
Thanks for the invitation ila hiyo siku mie ntakunywa wanzuki maana huwa nakunywa wine tuu bia thiguthi, sasa nataka nijaribu wanzuki kwa kuwa ntakuwa na girls wenzangu najua hawatanifanya kitu mbaya hata ikikata network. Luv that, nice idea Karucee

Bitter lemon kaa nyumbani. lols
Teheeee hii itakuwa njema sana... mie na ka bitter lemon kangu tu lakini mtajuta nikijiachia lol
 
Kweli nimezeeka, sina formula, tena mara nyingi naweza agiza hata maji. Anyway, don't have 'first dates' any more, ni nth dates tu (n>1)
 
Back
Top Bottom