Mkuu last time tapatalk walikua wananipata utata kuhusu kuhusu kuweka jamii forum je nw wako poa
Mkuu last time tapatalk walikua wananipata utata kuhusu kuhusu kuweka jamii forum je nw wako poa
So unaipataje sasaMimi natumia tapatalk hata sasa kuingia JF. Ila Hii huipati katika official tapatalk website.
View attachment 549814
So unaipataje sasa
Chalii wa nougat ndani ya s3 kwenye ubota wakoSina App yeyote hata kwenye app drawer... Natumia gesture mwanzo mwisho
Nimeiweka parking naisubiri Android O powered by Lineage OS
Kwenye s3 yangu ilizingua nikapiga chini nikaeka 4.3 stockrom halafu nikauza na simu yenyewe..sitakagi ujinga kabisaNimeiweka parking naisubiri Android O powered by Lineage OS
Huwa siuzi naweka kwenye droo... Nikiikumbuka natumiaKwenye s3 yangu ilizingua nikapiga chini nikaeka 4.3 stockrom halafu nikauza na simu yenyewe..sitakagi ujinga kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu ila sisi wa pangu pakavu hatuwez kua na simu nyengine bila kuuza ya zamaniHuwa siuzi naweka kwenye droo... Nikiikumbuka natumia
Haina sha siku hizi umehamia tecnoHongera mkuu ila sisi wa pangu pakavu hatuwez kua na simu nyengine bila kuuza ya zamani
Hahaha wanakuskia wanazi wa tecno mkuu,niuzie basi moja ambayo ipo kwenye droo nifanye maaajabu mkuu hahaHaina sha siku hizi umehamia tecno
Naona huwa ukifika Nyumbani Watoto wanakunyanganya simu Mkuu.
Nimeona game zao za kuimba na kuhesabu.
Safi sana.
Mkuu home screen yako image yake nimeipendaaa app gan hii??name:mtaule
Gender:male
Nationality:Tanzania
Occupation:student
Age:21
City:songea