soskeneth
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 583
- 235
Mkuu hii app gan??Mimi natumia tapatalk hata sasa kuingia JF. Ila Hii huipati katika official tapatalk website.
View attachment 549814
Nimekupata, Android Phone haiwezekan???Ni tapatalk kwa windows phone.
Haya jifunze hapo![]()
Hiyo.. HTC desire ila hapo nime tweek mwenyeweHiii aina gan ya sim
Hiyo.. HTC desire ila hapo nime tweek mwenyewe
Yea hata simu yako inaweza mkuu, unahitaji xposed framework, xposed installer pamoja na flat style status barDuuuh niuma xaana iko vzur
Mkuu si ungetaja basi ni launcher gan au app ganMi yangu ni hii hapa.
View attachment 544097
Age:26
Gender: Male
Occupation: Entrepreneur
Residence: Dar es salaam
Nationality: Tanzanian
Mm labda sijaelewa hii tapatalk ni mtandao au launcher itakayoniwezesha my Phone kuwa na muonekano mzurii??Ipo tapatalk version ya android pia. Ingia google playstore utapata.
well organized
samahani mkuu ningependa kujua unatumia aina gani ya simu,na hyo UI/skin ni native au custom?Haya jifunze hapo![]()