SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,182
- 1,716
[deleted]
chase a check.. never chase a b!tch
chase a check.. never chase a b!tch
Mkuu hiyo ni tweek tu ambayo unaweza fanya iwapo Simu yako ipo rooted, utahitaji xposed installer, xposed framework na flat style status barsamahani mkuu ningependa kujua unatumia aina gani ya simu,na hyo UI/skin ni native au custom?
sawa mkuu nimeipataMkuu hiyo ni tweek tu ambayo unaweza fanya iwapo Simu yako ipo rooted, utahitaji xposed installer, xposed framework na flat style status bar
Kumbe unafahamu kiswahiliHuna app on homescreen lako...?
Xposed installer utaipata XDA sema simu yako pia inatakiwa kuwa na custom recovery ili uweze ku flash exposed framework, na simu isiwe android version 7.X.Xsawa mkuu simu yangu iko rooted,hizo xposed nazipata playstore au ni google apk?
mkuu simu nili iroot kwa kingroot app sasa sijui kama hyo custom recovery itakuwepo.na hapa wamenipa onyo la soft brickXposed installer utaipata XDA sema simu yako pia inatakiwa kuwa na custom recovery ili uweze ku flash exposed framework, na simu isiwe android version 7.X.X
CAT S30
Pirate
Mkuu uliipataje tapa talk maana nmeitafuta kweli kwenye store siioni
Swala si lilikuwa aone app nnazotumia sana, anyway hio ni LG G2 ndani ya Nova launcher mbaba!
Mkuu uliipataje tapa talk maana nmeitafuta kweli kwenye store siioni
Kwenye store ya windows phone tapatalk haipo. Hiyo app niliipata katika website ya Download Tapatalk Classic 2.0.1.50 XAP File for Windows Phone - Appx4Fun[/QUOTE mkuu inakataaa inasema there is a problem with this app contact you company's person for help
Mkuu mi inanikataliaKwenye store ya windows phone tapatalk haipo. Hiyo app niliipata katika website ya Download Tapatalk Classic 2.0.1.50 XAP File for Windows Phone - Appx4Fun
Mkuu mi inanikatalia
Natumia Nokia Lumia 1320 Window 8.1unatumia simu gani.? una version gani ya windows phone katika simu yako.?