Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 21,234
- 36,258
- Thread starter
- #141
Mm nataka anipendae aniletee zawadi
Natumai kama yupo humu amekusoma na atafanyia kazi matamanio yako. Na kama hayumo humu, basi uvuvio wa Krismas umpitie akuletee zawadi as you wish....
Nakutakia Heri na Fanaka na Krismas na Mwaka Mpya.