What do girls like in men?

Wengi hupenda sana UFUNDI KITANDANI huu ni ukweli usiopingika.

Ndio maana demu akichagawishwa na ufundi akiachwa huwa anaumia sana sana kuliko kitu kingine.

Wengi wa mademu huwafuata vijana CHOKAMBAYA just because wanafuata uleeee UTAMUUUUU.

Halafu mambo ya pesa hufuatia, lakini utamuuuuu ni kitu cha kwanza kabisaaa bila kupinga na anayepinga aniambie.

Mie kwa utaalam wangu nimekutana nao wengi na kweli hakuna aliyetaka kuchomoka sababu ya ufundi tu.

Ukweli ni kwamba sex inadominate karibu 90% ya uhusiano kati ya mume na mke na si kingine chochote kile.
 
Ladies wanataka handsome men, ila "the most handsome man in the world is he who has money" so kama unawataka fanya kazi, kwa bidiii, iba, kaba, ili upate hela, utakua handsome sana. ha ha haha ha, every gel will love you. hata hao wanaosema wanataka appreciation and attention, wana maana wanataka presents, gifts and care, ambavyo vyote vinahitaji hela. HAKUNA JINSI KIJANA, JARIBU NJIA ZOTE UTAFAIL, unaweza ukashind scrubbing kila siku na bado ukawa huwapati, TAFUTA HELA, WATAKUA WANAKUJA WENYEWE, UNACHAGUA TU.



Hivi kweni ni Rombo?
 
Wanajamii,hivi galz hupenda nini kwa wanaume? Hupenda wanaume/mwanaume mwenye sifa gani? Ufanye nini ili u-capture attention yake kwako? Lets help each other!

Personally,sifa zangu ni,.a man who is smart(mentally n physically),who will be there for me at all tymz,a man who will love me as i am,a man who respects women,who gvz me a sense of security,sense of humor,independent and gentle(a man who will be firm in hz decisions but yet who can cry when miserable,not aktn tough all tymz)ahaha..pesa hata mimi najua kuzitafuta lol!
 
duu inategemea jamani kila msichana ni tofauti....??
we watak kujua nini sana sana??
 
Tunapenda wanaojipenda na wanaotupenda.
Mshiko wa outing siku moja moja uwepo.
Hela ya shopping isikosekane.
Hatuwapendi wanaume ambao wapo kingono zaidi.
Nimemaliza.
Maswali kesho.
 
acheni uwongo wanawake, PESA ndiyo kila kitu kwa wanawake almost wote! hakuna cha care wala malavi davi!
 
haha...hujui kwangu! na sijahamia bado...ntakushtua nikihama! lakini sio pazuri pa kuja kutembelea sana maana weusi wengi...

mmmhh nilidhani bado utakuwa unaishi kule mtaa wa juu...
au vipi tena??

duuhhh kwa nini tu usirudi pale pa zamani na wapacific wako..
hahah lol

au umechoka kusikiliza gitaa lol
 
They like the thing between your legs period.But you have to complement that with MONEY eeh
 
acheni uwongo wanawake, PESA ndiyo kila kitu kwa wanawake almost wote! hakuna cha care wala malavi davi!

Dah!let me tell you that,what you see as a lie or fantasy can be the truth or reality to another..sasa ukiwa unaekewa hzo hela mezani evry morning,utazifanyia nini when it comes to emotions?wengine ndo wanaanza therapies kisa shopaholic,alcoholic,..kila mtu na mtazamo wake dia.
 
Kila mwanamke ana kitu anachopenda kwa mwanaume,hela haimfanyi mwanamke akupende,inamfanya awe na wewe kwakuwa unatimiza mahitaji yake huo si upendo.......Wanawake wengi tunapenda maisha mazuri,kwa tafsiri ya kileo,yanatokana na hela kama gari zuri,nyumba nzuri,watoto wasome shule nzuri,nk
Ukiwa unatafuta attention ya mwanamke yeyote,chukua muda kumfahamu kidogo,hata kabla ya kuwa nae,utajua tu....Ila vitu basic kama elimu nzuri,kazi nzuri,kujipenda na kujiheshimu na kheshimu wengine,upendo na ofcoz m-treat kama mwanamke,with time utajua ufanye nini ku-capture attention yake.
 
Kila mwanamke ana kitu anachopenda kwa mwanaume,hela haimfanyi mwanamke akupende,inamfanya awe na wewe kwakuwa unatimiza mahitaji yake huo si upendo.......Wanawake wengi tunapenda maisha mazuri,kwa tafsiri ya kileo,yanatokana na hela kama gari zuri,nyumba nzuri,watoto wasome shule nzuri,nk
Ukiwa unatafuta attention ya mwanamke yeyote,chukua muda kumfahamu kidogo,hata kabla ya kuwa nae,utajua tu....Ila vitu basic kama elimu nzuri,kazi nzuri,kujipenda na kujiheshimu na kheshimu wengine,upendo na ofcoz m-treat kama mwanamke,with time utajua ufanye nini ku-capture attention yake.

You might be right ila hiyo AVATAR yako loooooo. Au ndio wewe mwenyewe?
 
haiwezekani kuwa na a list of specific attributes. you love a person in totality and not his differentiated component parts. hayo ya pesa na material wealthy ni kweli they drive most of gals into insanity but still cant be used as clues for a true love. attraction with or to somebody is special and cant be generalized in any way.

waliosoma motivation theories, wanajua tofauti ya extrinsic (maintenance) na intrinsic (motivators) factors. extrinsic factors kama pesa, nyumba, gari etc sio motivators but they only create the environment for motivation to occur. kama utatumia vitu hivyo kumnasa msichana waweza kupata baadhi ila baada ya kumpata lazima umjengee imani kuwa unampenda, yaani urudi kwenye intrinsic factors, vinginevyo ndo yale ya kusikia mtu anajiuliza, "kuna nini anachokikosa humu ndani hadi anisaliti?" the answer is simple, kapata maintenance factors amekosa motivators. kwa kujikumbusha hii nadharia rejeeni two factor theory by Hugo mintzberg
 
Back
Top Bottom