Mimi sasa ndo balaa....
Sina rafiki sababu kubwa ni uwezo wangu wa kujua hisia za mwingine plus nimesoma vitabu vingi (1000+)kiasi kwamba najua kutofautisha fake people na really.
Sina rafiki sababu wote nimewakopa wamepotezea kunilipa,nkijaribu kumzoea mtu ananikopa hanilipi si mdai urafiki unakufa saivi sizoei mtu sababu nimestuka. More than 7 million ipo kwa marafiki zangu ambayo saivi sio marafiki tena ni watu wakupiga nao story tu.
Nina depression sometimes sababu najua vitu vingi sana kupita uwezo wangu wa kuvibeba na nafeel almost kila kitu.
Nahitaji mda wakukaa mwenyewe na siwezi kukaa na mtu yeyote duniani kwa mda mrefu.Nikitoka sehemu zenye kelele lazima nikae mwenyewe kwa mda.
Nina roho nzuri sana ingawa na improve kdg kuwa na roho mbaya.
Sipendi kelele na kila nachokisikiliza lzm nikipende kwanza,hivyo radio sisikilizi unless mada naipenda au mziki naupenda.
Siwezi kuwa mnafiki hivyo siwezi kujikomba kwa maboss.
Naongeaga ukweli ht pasipostahili hivyo kuna watu wananipemda sana kuna watu wananichukia sana
Napenda comedy movies sana bila hizo napata shida kubalance mood changes zangu
Na huruma sana ila na hasira za karibu kama Mtu hanielewi au ana mdharau mwingine
I can’t handle stress bahati mbaya sana nipo kama sponchi navyonza hisia za wengine haraka sana ziwe mbaya ziwe nzuri.
Namjua mtu kiundani sana kipaji chake ,uwezo wake ,udhaifu wake mda mchache sana nikiwa nae karibu.
Na uwezo wa kupiga story na mtu yeyote bila kujali status yake kwa kiwango kile kile cha heshima,mada nyingi nazijua hivyo sikosagi cha kuongea na mtu.
Shy kidogo,very spiritual but sipendi kwenda kanisani naona kama kupoteza mda hivi ila naamini nalindwa na nguvu kubwa sana ya kiMungu
MapenZi ya kugandana siyawezi naogopa sana mahusiano,napenda kulala mwenyewe,Nikiwa mwenyewe nakuwa na furaha zaidi ingawa najichanganya sana sometimes.
Napenda sana kucheka
Sina rafiki but i am friend material





Uwaga nahisi sijaumbwa kuwa dunia hii huku kama nimepachikwa Tu.
Uwaga nahisi nimebarikiwa ila sijui hasa nimebarikiwa na nini ila najua nimebarikiwa sana kupita wengine.