MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,745
- 71,610
- Thread starter
- #21
Duu kumbe huyu jamaa bado yupo , he's a classic singer aisee
Gorby yuko sana tu.
Ana foundation yake kubwa kweli
Duu kumbe huyu jamaa bado yupo , he's a classic singer aisee
Hiyo foundation yake ipo Russia au Ukraine ?? Huyu si ndio wanasema Marekani ilimtumia kuisambaratisha Soviet Union ? Au ni conspiracy theories tu ??Gorby yuko sana tu.
Ana foundation yake kubwa kweli
Hiyo foundation yake ipo Russia au Ukraine ?? Huyu si ndio wanasema Marekani ilimtumia kuisambaratisha Soviet Union ? Au ni conspiracy theories tu ??
Kama alitumika nao Warusi wamemwachaje hai mpaka leo ?
Asante Malcom ,historia niliikimbia hivyo kupata maelezo kama haya ni shule tosha kabisaHaahaa,
Sera ya Perostroika na Glasnost kwa mara ya kwanza zilipangwa miaka ya 60's hata Gorbachev hafahamiki.
Ukiangalia vizuri sera za Uchumi za Nikita Kruschev utaona kuna chembe-chembe nyingi za Glasnost na Perostroika.
Kilichovunja SOVIET UNION kilikuwa ni mkataba ambao unaitwa (the Belavezha Accords) ambao ulisainiwa kisirisiri na viongozi wa Ukraine, Belarus na Russia.
Ikumbukwe kwamba mwaka 1991 kuna mapinduzi yalifanyika ya kijeshi ili kuwaua viongozi wote wa USSR pamoja na Gorbachev ili kuzuia muungano usivunjike. Lakini Yeltsin aliwazuia wale wanajeshi basi muungano ukavunjika.
Ukweli ni kwamba hata viongozi wa KGB walijua kabisa kwa Uchumi ulivyoharibika, mfumo wao wa uongozi na rushwa ndani ya USSR ni lazima wangekuja kushindwa vibaya siku za mbeleni.
So wakaamua kujipanga upya ndiyo unawaona hadi leo tena.
Majitu kama Nyani Ngabu Na MK254 yakiona hii they will want to jump out of their skin.
Haaha kitu Blue Berry Hill.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
CC: Dotworld , Masunga Jr. , Bukyanagandi , Elungata , MziziMkavu , Ritz , Upiversity . kui
Kui...you are in trouble.
Don't ever say USA baby again without kale kabendera😀.
USA baby![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aise, wewe Nyani Ngabu Wamarekani wanaweza wakakuajiri State department, au Ministry of Defence au kule kwenye taasisi ...ukawa spokesperson....teeh... teh natania tu.