Cha ajabu kuhusu gerezani huo mchezo ulianza miaka ya 80 Hadi leo upoIna maana ni sawa na kinachoendelea kule gerezani?..maana stori tunazopata ni kuwa unaibiwa kifaa cha gari alafu unaenda kukinunua kule na maisha yanaendelea kama kawaida tu.
Mkuu siku zote usipeleke kesi kituo cha karibu,mimi ningepeleka stakishari then natoa hongo laki 4 kesi ya 250000...mmnawqpa kesi ya madawa ili tumalize watatoa 2m kwangu bdo kuwamaliza police....hiyo ndio dawa ya mshenziKabisa
Mwaka 2013 nilinunua simu pale kariakoo. Ile simu ilikuwa inakula vocha bila kupiga simu. Nikairudisha dukani nikaomba hela yangu maana simu ilikuwa fake. Cha kushangaza wauza maduka wote wakataka kunishambulia wakanizonga. Nikawavimbia mno Jamaa akawa analazimisha anibadilishie simu.. Nikakasilika nikaipiga chini nikasepa zangu.
Upuuzi wa polisi upo kwenye kutrack simu aliibiwa mzee. Utakoma wanataka uwape pesa kwanza ndo wakutafutie simu. Wakiipata usipofuatlia wanaichukua. We fuatilia utapona simu wanatumia za gharama kweli siyo zao .
Note ukitaka kifua chochote cha umeme nenda kwa WATU WEUPE UTAPATA BLAND NEW
Mimi hua najiendea miyomboni hapa najinunulia kwa amani kabisa karibuni Iringa jamaniMimi naweza kufikisha miaka 10 sijaenda Kariakoo
Naomba unijuze wewe umetoa maoni yako humu kwa kutumia kifaa gani, samahani lakini!Watanzania wenzangu mbona tunapenda anasa. Kumiliki simu ni anasa tufanyeni kazi, kazi haimuui mtu. Wajerumani na Japan baada ya WWII waliamua kuacha anasa na kufanya kazi waangalie walipo sasa hivi.
Hizi simu tuache kuzitumia na kuzishadadia baada ya miaka 50 ya kufanya kazi kama German na Japan.
TUACHE MATUMIZI YA SIMU NA TUFANYE KAZI. KAZI NI KIPIMO CHA UTU.
ndukii
ni kweli The Boss, ukiona bingwa anatetea udhulumati wa hela za jasho humu jamvini basi jua na yeye mwizi, mm niliibiwa mzigo nimeuweka kichwani (kigari cha mtoto mchhanga) wakaniacha wa mkononi (ilikuwa CPU /Computer- mbovu) msamaria komba nimpe 200 tu akanywe maji anisaidie computer, nikaona kidume aibu kujitwisha nikampa kigari mm na computer mbovu, natokea Kariakoo Polisi naelekea sokoni yule msamaria mwizi akaongeza mwendo akaingia sijui shimoni sikumuona tena, nikaenda POLISI Msimbazi wakaninyima msaada basi nikaicha na computer mbovu kituoni sikurudi tena.Wanao huo mchezo Sana wa kuteteana hao matapeli
China plaza kidogo panaeleweka .Duuh nje Samsung ndani Itel ?? Aki ya nani dunia hii[emoji849][emoji849] ila Kariakoo mimi naonaga wenye maduka wote wajanja janja tu sasa sijui tuwe tunanunua wapi vitu.
Huyu wa zenji sasa anajitakia mwenyewe. Simu zenji bei ndogo kuliko huku bara sababu ya ushuru kwao ni mdogo sio kama huku, anakujaje kununulia simu huku aiseeImagine mtu anasafiri na boat anaenda Zenji jioni unampeleka ananunua simu anakuja kugundua fake Yuko Kwa boat..
Aisee simu inakula vocha😀pole mkuu ila ungemwambia sawa akubadilishie ila akupe og otherwise ungemchenjia.Mwaka 2013 nilinunua simu pale kariakoo. Ile simu ilikuwa inakula vocha bila kupiga simu. Nikairudisha dukani nikaomba hela yangu maana simu ilikuwa fake. Cha kushangaza wauza maduka wote wakataka kunishambulia wakanizonga. Nikawavimbia mno Jamaa akawa analazimisha anibadilishie simu.. Nikakasilika nikaipiga chini nikasepa zangu.
Naunga mkono hoja yako Mheshimiwa IGP inafaa apalekewe nakala ya hoja hii kwa hatua zaidi.Polisi kumejaa rushwa
Uwezo wa polisi wengi kutafakuri ni zero
Mkuu inabidi tuanze na hawa jamaa wa K/koo na mizizi ya polisi Wachafu wanaochafua Jeshi letu
ni vijijini tu ndio hakuna machinga, Rais karuhusu hawa jamaa watapakae popote na wao wana Ofisi na magari ya kusambaza bidhaa za aina zozote, nakushangaa wewe hujawahi kupigwa changa la macho, hata kura kina Lissu wamekubali changa la macho sembuse CDM wametulia ndio maana nikasema karibu Kkoo Bundy wapo, ingawa na mm sikuitumia nachangamsha jukwaa bado nina kitochi x-tigi
Mkuu inamaanisha unaweza kununua simu bila kuwasha hapo hapo Dukani?maana karibu simu zote ukiwasha lazima itokee brand/jina aina ya simu wakati wa kuwasha mfano Samsung, Nokia,Tekno,Itel,LG. Sasa unaposema unauziwa housing ya LG ndani mashine ya Itel au Tekno nadhani haupo sahihi.Kwa brand kama LG au Sony wakikuwekea
Ndani itel huwezi jua kama sio mjanja
Ni wezi sana sana hapo Kariakoo na polisi wanajua kila kitu.
Kuanzia Posta mpaka Mlimani City simu zote wanatoa Kariakoo.Posta mpya
Wizara ya Mambo ya ndani inahitaji waziri Kama yule mama wa afya. Sio huyu my friend mtu wa watu