Kabisa"Sheria zibadilishwe kuwalinda wanunuzi. Polisi wawe na maaafisa wa TRA na TBS, Hasa pale msimbazi Polisi..
Opereshen maalum ifanyike kusafisha kkoo na wafanya biashara hawa matapeli"
Nimependa hii conclusion yako ya kibabe sana. Solution ni hiyo tu na si vinginevyo.
Kuna uhaba mkubwa wa watumishiwa wa serikali. Waajiriwa wapo, mwajiri yupo busy na vipa mbele vyake, ie siasa, miundo mbinu, ndege etc.Kwanza polisi wapewe nguvu kisheria
Wawe na wataalam wao wa TRA na TBS
Ndo iko hivyo nchi zingine
Faini mlipigwa sh ngapi? HP wapo njema Na bidhaa zao. Ndo maana zinauzwa aghali.Walikuja kampuni ya HP wenyewe ndio wakazitambua.. polisi hawezi kuona utofauti wa zile wino hata mnunuaji hawezi kuona tofauti yoyote
Sio kila kituo, ni vituo vikubwa hasa mipakani. Hawa polisi wa kwetu wanafanya kazi kwa mazoea, wanajifanya kujua kila kitu, japo wengi kichwani ni zero.Kwanza polisi wapewe nguvu kisheria
Wawe na wataalam wao wa TRA na TBS
Ndo iko hivyo nchi zingine
Wapo wastaarabu....Ila kuwajua kazi Sana,mimi nikitaka ktu kkoo kuna ndugu yangu huwa anajua biashara za simu vzur Sana,so huwa namtumia coz kkoo nishawai kupigwa.Duuh nje Samsung ndani Itel ?? Aki ya nani dunia hiišš ila Kariakoo mimi naonaga wenye maduka wote wajanja janja tu sasa sijui tuwe tunanunua wapi vitu.
Faini milion 8Faini mlipigwa sh ngapi? HP wapo njema Na bidhaa zao. Ndo maana zinauzwa aghali.
Aisee, ni bora kufanya hivo kumtumia mtu anayefahamu hizo bidhaa otherwise kama mimi utapigwa dailyš¤š¤Wapo wastaarabu....Ila kuwajua kazi Sana,mimi nikitaka ktu kkoo kuna ndugu yangu huwa anajua biashara za simu vzur Sana,so huwa namtumia coz kkoo nishawai kupigwa.
Ukiwa na mfanyabiashara unaemfahamu kkoo kdogo,unahisi amani.
Ok,ila naskia bei pia zimechangamkašNenda Posta, kule no ubabaishaji.
Sidhani hata hiki chama cha kuwalinda walaji (consumer protection) kinafanya kazi, hiki ndo kinatakiwa kifuatilie issue kama hizo kuanzia ubora wa bidhaa zinazouzwa madukani na kushughulikia malalamiko kama hayo.
Polisi wa bongo form 4 hajui hata kutumia kompyuta vizuri zaidi ya kusikilza mziki na movie .Kwanza polisi wapewe nguvu kisheria
Wawe na wataalam wao wa TRA na TBS
Ndo iko hivyo nchi zingine
Ni kweli kwasababu kizuri gharama.Ok,ila naskia bei pia zimechangamka[emoji14]