Wezi wanarudishana nyuma sana

Wezi wanarudishana nyuma sana

Jamani.
Hata Mimi simu ya kwanza kupokea Leo ni ya wizi wa duka la mama yangu lililoko nyumbani.
Wamebeba vyote wameacha tu mizani na fridge
 
Takers!!...washaga nipiga tukio la kuniibia kuku zangu asubuh ilibidi nicheke tu na kuendelea na ratba zangu!!...
 
Watakuwa ni mmoja wa wafanyakazi wake alichonga funguo.

Jipange umsaidie.
Siyo kweli, kuna master key, kuna watu vitasa vikiwaona vinafunguka vyenyewe.

Matajili nao msiwaone hivi wamelia sana, mtu kaingiza kontena Salama kutoka ng'ambo na kalikaguwa, siku anakata seal na kulifunguwa hamna mzigo.

Wanakata seal, wanafunguwa makufuli wanapakuwa mzigo wote, wanarudishia makufuli na kuweka seal nyingine, ila wizi huu lazima walinzi washiriki.

Waliogunduwa Camera haya mambo ndio yamewakera sana, sasa hivi kama una kauwezo camera ni muhimu sana, hata kama haizuii kuibiwa lakini utajuwa pa kuanzia.
 
Hellow african

Leo afrajiri saa kumi na moja simu yangu inaita kuangalia ni mama anapiga nilistuka kidogo kupokea na msikiliza na sikia sauti ya kilio analia moyo wangu ukapasuka kujaribu kuuliza vizuri anasema ameibiwa mzigo wake wote wa dukani ambao alikuwa ameuleta juzi tu dukani akili ikazidi kuchanganyikiwa

Nikakata simu kumpigia jirani ndio ananiambia kuwa wezi wamefungua duka bila kuvunja wakaiba na hawaja vunja popote pale

Kwanini watu wasifanye kazi nao wapate mali zao kukicha kuiinda mali za watu watu wanarudishana nyuma sana mtu unakosa ata huruma unaenda dukani kwa mtu unavunja ndio nini?
Duh poleni sana sana, dah
 
Pole sana ila wekeza bidii kwenye kutafuta chanzo cha tatizo(usitumie fedha nyingi lakini). Hapo kuna mtu yuko karibu kabisa amechora mpango. Angalia majirani wako kibiashara na watu wote wanaokaa karibu na biashara yako. Pili chukuwa tahadhari ili hali isijirudie tena. Kuna namna unaweza kuweka makomeo na kufuli zile nzuri. Bora utumie fedha ununue kofuli kama za brand ya Abbloy kuliko hizi za mchina ambazo ukizipigia kelele ''wee'' zinaogopa na kufunguka zenyewe. Na mwisho: siku hizi vifaa vya electronic ni vingi sana. Mtu ukiwa mbunifu unaweza kubuni system local ambazo zinapiga alarm na picha iwapo mtu anafungua mlango bila idhini.
 
Kweli wizi ni mbaya hata hao wanaotuibia huko Serikalini ndio wanafanya nchi yetu iwe maskini.

Ni kuwa makini tu kipindi hiki cha mvua wezi nao wanakuwa makini mno maana mvua inafanya movements zao zisisikike kwa haraka na pia hali ya hewa nayo inafanya watu walale usingizi wa pono.

Mtaibiwa sana kipindi hiki cha mvua.
 
Siyo kweli, kuna master key, kuna watu vitasa vikiwaona vinafunguka vyenyewe.

Matajili nao msiwaone hivi wamelia sana, mtu kaingiza kontena Salama kutoka ng'ambo na kalikaguwa, siku anakata seal na kulifunguwa hamna mzigo.

Wanakata seal, wanafunguwa makufuli wanapakuwa mzigo wote, wanarudishia makufuli na kuweka seal nyingine, ila wizi huu lazima walinzi washiriki.

Waliogunduwa Camera haya mambo ndio yamewakera sana, sasa hivi kama una kauwezo camera ni muhimu sana, hata kama haizuii kuibiwa lakini utajuwa pa kuanzia.
Huko majuu nao wapo?
 
Pole sana mkuu.
Kwetu tunavikundi vya ulinzi shirikishi na vinatusaidia sana na vimepunguza uhalifu kwa kiwango kikubwa sana.

Fikirien na anzisheni
 
Siyo kweli, kuna master key, kuna watu vitasa vikiwaona vinafunguka vyenyewe.

Matajili nao msiwaone hivi wamelia sana, mtu kaingiza kontena Salama kutoka ng'ambo na kalikaguwa, siku anakata seal na kulifunguwa hamna mzigo.

Wanakata seal, wanafunguwa makufuli wanapakuwa mzigo wote, wanarudishia makufuli na kuweka seal nyingine, ila wizi huu lazima walinzi washiriki.

Waliogunduwa Camera haya mambo ndio yamewakera sana, sasa hivi kama una kauwezo camera ni muhimu sana, hata kama haizuii kuibiwa lakini utajuwa pa kuanzia.
Wiz wa mtaani ni changamoto sana maana hata wenye ukuta wanali wenye camera wanalia
 
Hellow africans,

Leo afrajiri saa kumi na moja simu yangu inaita kuangalia ni mama anapiga nilistuka kidogo kupokea na msikiliza na sikia sauti ya kilio analia moyo wangu ukapasuka kujaribu kuuliza vizuri anasema ameibiwa mzigo wake wote wa dukani ambao alikuwa ameuleta juzi tu dukani akili ikazidi kuchanganyikiwa.

Nikakata simu kumpigia jirani ndio ananiambia kuwa wezi wamefungua duka bila kuvunja wakaiba na hawaja vunja popote pale.

Kwanini watu wasifanye kazi nao wapate mali zao kukicha kuiinda mali za watu watu wanarudishana nyuma sana mtu unakosa ata huruma unaenda dukani kwa mtu unavunja ndio nini?
Heading inahitaji maboresho. Omba kwa Moderator Akusaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom