Wezi wanarudishana nyuma sana

Wezi wanarudishana nyuma sana

Hellow africans,

Leo afrajiri saa kumi na moja simu yangu inaita kuangalia ni mama anapiga nilistuka kidogo kupokea na msikiliza na sikia sauti ya kilio analia moyo wangu ukapasuka kujaribu kuuliza vizuri anasema ameibiwa mzigo wake wote wa dukani ambao alikuwa ameuleta juzi tu dukani akili ikazidi kuchanganyikiwa.

Nikakata simu kumpigia jirani ndio ananiambia kuwa wezi wamefungua duka bila kuvunja wakaiba na hawaja vunja popote pale.

Kwanini watu wasifanye kazi nao wapate mali zao kukicha kuiinda mali za watu watu wanarudishana nyuma sana mtu unakosa ata huruma unaenda dukani kwa mtu unavunja ndio nini?
Ubaya ubaya!! Awaendee Kwa Babu ili iwe fundisho Kwa wenye tabia hizo, na Mali watarudisha
 
Hellow africans,

Leo afrajiri saa kumi na moja simu yangu inaita kuangalia ni mama anapiga nilistuka kidogo kupokea na msikiliza na sikia sauti ya kilio analia moyo wangu ukapasuka kujaribu kuuliza vizuri anasema ameibiwa mzigo wake wote wa dukani ambao alikuwa ameuleta juzi tu dukani akili ikazidi kuchanganyikiwa.

Nikakata simu kumpigia jirani ndio ananiambia kuwa wezi wamefungua duka bila kuvunja wakaiba na hawaja vunja popote pale.

Kwanini watu wasifanye kazi nao wapate mali zao kukicha kuiinda mali za watu watu wanarudishana nyuma sana mtu unakosa ata huruma unaenda dukani kwa mtu unavunja ndio nini?
Pole sana, haya ya wizi mdogomdogo yanatokea kwa sababu kuna wezi wakubwa wametudumaza kwani kila siku wanaiba matrlioni yetu ambayo yangetuwezesha tuishi vizuri, kutokana na ujinga wetu hatujui kuwa hizo pesa wanazoiba zingeweza kutuwezesha kiuchumi kwa nchi kuwa na viwanda na makampuni ambayo yangetoa ajira kwa watu wengi.
Ni juu yetu kuamua kupambana na hawa wezi wakubwa ili wezi wadogo watoweke.
 
Mimi alimanusura niue kibaka hivi karibuni nikakumbuka usumbufu wa kuua bila kukusudia ila hatanisahau
 
1. Kwanza nawapongeza wezi kwa ustaarabu wa hali ya juu, kutogharimu maisha ya binadamu mwenzetu.

2. Nampa pole sana mama kwa kupoteza mali. Namshauri amshukuru Allah maana vilivyopotea ni vitu si utu wala roho.
Hakika yeye atupatiae roho na uhai hashindwi kukurejeshea vitu maradufu katika ukweli na haki.

3. Nawalaani wezi kwa kudhulumu jasho la mama.
 
Hellow africans,

Leo afrajiri saa kumi na moja simu yangu inaita kuangalia ni mama anapiga nilistuka kidogo kupokea na msikiliza na sikia sauti ya kilio analia moyo wangu ukapasuka kujaribu kuuliza vizuri anasema ameibiwa mzigo wake wote wa dukani ambao alikuwa ameuleta juzi tu dukani akili ikazidi kuchanganyikiwa.

Nikakata simu kumpigia jirani ndio ananiambia kuwa wezi wamefungua duka bila kuvunja wakaiba na hawaja vunja popote pale.

Kwanini watu wasifanye kazi nao wapate mali zao kukicha kuiinda mali za watu watu wanarudishana nyuma sana mtu unakosa ata huruma unaenda dukani kwa mtu unavunja ndio nini?
Duka lake liko karibu na wachaga?

Pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom