Wezi wanarudishana nyuma sana

Wezi wanarudishana nyuma sana

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,528
Reaction score
66,002
Hellow africans,

Leo afrajiri saa kumi na moja simu yangu inaita kuangalia ni mama anapiga nilistuka kidogo kupokea na msikiliza na sikia sauti ya kilio analia moyo wangu ukapasuka kujaribu kuuliza vizuri anasema ameibiwa mzigo wake wote wa dukani ambao alikuwa ameuleta juzi tu dukani akili ikazidi kuchanganyikiwa.

Nikakata simu kumpigia jirani ndio ananiambia kuwa wezi wamefungua duka bila kuvunja wakaiba na hawaja vunja popote pale.

Kwanini watu wasifanye kazi nao wapate mali zao kukicha kuiinda mali za watu watu wanarudishana nyuma sana mtu unakosa ata huruma unaenda dukani kwa mtu unavunja ndio nini?
 
Hellow african

Leo afrajiri saa kumi na moja simu yangu inaita kuangalia ni mama anapiga nilistuka kidogo kupokea na msikiliza na sikia sauti ya kilio analia moyo wangu ukapasuka kujaribu kuuliza vizuri anasema ameibiwa mzigo wake wote wa dukani ambao alikuwa ameuleta juzi tu dukani akili ikazidi kuchanganyikiwa

Nikakata simu kumpigia jirani ndio ananiambia kuwa wezi wamefungua duka bila kuvunja wakaiba na hawaja vunja popote pale

Bwahahahaaa badala ukae umfariji mama yako unakuja kulia huku

Hopeless!
 
Pole sana kwa changamoto ila rekebisha kiswahili.
Ukisema wezi wanarudishana nyuma unakua unamaanisha wezi wamefanyiana ubaya wao kwa wao au wezi wamemuibia muizi mwenzao
Ni vyema ukaandika "wezi wanarudisha maendeleo nyuma"

Mimi kama Oni Sigala muhariri wa kiswahili dukuduku langu lilikua ni hilo tu.
Ahsante.
 
Hellow african

Leo afrajiri saa kumi na moja simu yangu inaita kuangalia ni mama anapiga nilistuka kidogo kupokea na msikiliza na sikia sauti ya kilio analia moyo wangu ukapasuka kujaribu kuuliza vizuri anasema ameibiwa mzigo wake wote wa dukani ambao alikuwa ameuleta juzi tu dukani akili ikazidi kuchanganyikiwa

Nikakata simu kumpigia jirani ndio ananiambia kuwa wezi wamefungua duka bila kuvunja wakaiba na hawaja vunja popote pale

Kwanini watu wasifanye kazi nao wapate mali zao kukicha kuiinda mali za watu watu wanarudishana nyuma sana mtu unakosa ata huruma unaenda dukani kwa mtu unavunja ndio nini?
Halafu hao wezi wakifanikishaga wizi wanafurahia na kujiona wajanja na kumcheka na kumkejeli waliomuibia. Lakini arobaini zao zikifika wakichomwa moto wanavyotia huruma na kuomba msamaha.
 
Asante mkuu
 
Inatia hasira sana watu hawajui wanapambana kias gani
 
Kukufariji, Ukiangalia vizuri utaona kuwa hakuna hasara yoyote kwenye uchumi. Si kwamba mizigo imeharibika. ila pole sana kwa maza mkuu.
 
Hellow african

Leo afrajiri saa kumi na moja simu yangu inaita kuangalia ni mama anapiga nilistuka kidogo kupokea na msikiliza na sikia sauti ya kilio analia moyo wangu ukapasuka kujaribu kuuliza vizuri anasema ameibiwa mzigo wake wote wa dukani ambao alikuwa ameuleta juzi tu dukani akili ikazidi kuchanganyikiwa

Nikakata simu kumpigia jirani ndio ananiambia kuwa wezi wamefungua duka bila kuvunja wakaiba na hawaja vunja popote pale

Kwanini watu wasifanye kazi nao wapate mali zao kukicha kuiinda mali za watu watu wanarudishana nyuma sana mtu unakosa ata huruma unaenda dukani kwa mtu unavunja ndio nini?
Poleni sana! Watu wanapenda njia za mkato, na siku zote hawaendelei kwani hata akili na maarifa ya kujitegemea hawana.
 
Watakuwa ni mmoja wa wafanyakazi wake alichonga funguo.

Jipange umsaidie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom