cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,129
Waganga wapo, nilimkomesha mtu m1 na haamini hadi kesho, anasemaga moe nina roho mbaya sana.Hakuna mganga nchi hii wala dunia hii akusaidie wakati yeye menyewe hawezi kujisaidia ana maisha magumu mpaka kwenye meno
Wala sio uongo, nikikasirika ile sana na moyo ukaniambia coca hapa umeumia, sina unafiki, KISASI ndio jadi yangu.
Muwe mnaongea na watu vizuri, wawape ya kilingeni.