Wezi walipo shikwa na mwenye gari!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kuna wezi waliiba matunda mbalimbali wakakamatwa. Adhabu yao ilikua kuingizwa matakoni aina ya tunda aliloiba. Wa kwanza aliiba ZABIBU sasa wakati anaingizwa akawa anacheka sana. Wakamuuliza "we choko nini?" akajibu hapana mi namfikiria juma!!! Juma aliiba FENESI!!!
 
Niemdhani unaongelea walioonyeshwa kwenye taarifa TBC1 wezi wa magari dar
sijajua ni parking ya wapi, ila nimemuona Fransis wa HR UDSM anaongelea hilo tukio , sasa sijui ni parking za UDBS??
 
Back
Top Bottom