NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,275
ina maana kuna mtu hajui kuwa maji ya baharini ni ya chumvi chumvi na hivo hayawezi kata kiu??
Ukifa na kiu baharin wew ni chizi
Haihitaji mtu awe karibu na bahari kujua bahari ina maji ya chumvi...Sio kila mtu anaishi karibu na bahari
Ahahahaa wewe hukuwa unaogelea ulikuwa unatembea kwenye maji yalipokuzidi yakaingia mdomoni bila ya idhini yaani shukuru Muumba kulikuwa na watu wakatoa msaada la sivyo saa hizi kungekuwa na turubai nyumbani usirudie tena mkuu hiyo kazi ina wenyewe
Hahahahaaa kisa mkasa?