Wezi bwana

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,775
699,162
1418060649378.jpg
 
Wangekuwa na akili wangeiba control box easy to carry n very very expensive

Kuna ofisi moja ilikuwa na Computer Desktop mbili mwizi alikuja akaiba monitor zote akaacha System Units zote then akaandika kwenye karatasi nimewakomesha kanunueni computer nyingine.
 
Kuna ofisi moja ilikuwa na Computer Desktop mbili mwizi alikuja akaiba monitor zote akaacha System Units zote then akaandika kwenye karatasi nimewakomesha kanunueni computer nyingine.

Alikuwa na akili akakosa maarifa,sisi waliwahi kuvunja wakaiba safe na handbag! Safe lilikuwa na documents za kawaida tu lakini handbag ilikuwa na USD 6000 mpaka wanakamatwa alfajiri na polisi wa doria walikuwa wanang'ang'ana kuvunja safe lisilo na hela huku wakiacha handbag ya kufungua zipu tu
 
kweli kabisa jana nimeogelea coco beach nimekunywa vikombe ila kiu ikabaki

Ahahahaa wewe hukuwa unaogelea ulikuwa unatembea kwenye maji yalipokuzidi yakaingia mdomoni bila ya idhini yaani shukuru Muumba kulikuwa na watu wakatoa msaada la sivyo saa hizi kungekuwa na turubai nyumbani usirudie tena mkuu hiyo kazi ina wenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom