Wewe ungefanyaje??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wewe ungefanyaje???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtalingolo, Feb 20, 2012.

 1. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ni muda mfupi tangu uoe. Sikumoja uliporudi kutoka kazin ukamkuta mwanaume ambaye mkeo amekutambulisha kuwa walisoma darasa moja hivyo ni kama kaka yake. Ikawa mara kwa mara unaporudi unamkuta mwanaume huyo kwenye chumba chenu mlichopanga akipiga stori na mkeo.

  Sikumoja kunajamaa akakutonya kuwa yule mwanaume na mkeo ni wapenzi wa siku nyingi. Ulipomuuliza mkeo kuhusiana na tuhuma hzo anakwambia kuwa ni kweli alikuwa mpenz wake na ndie mwanaume wake wakwanza aliemtoa usichana ila ni muda mrefu wameachana, wamebaki kama kaka na dada.

  JE UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hapo kuna cha kufanyaje tena?

  Wasichana mara nyingi huwa hawawi na mahusiano ya karibu na watu waliowatoa usichana.
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Kama ni mm ntawanunulia supu ya pweza kisha najikataa!
   
 4. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hiyo scenario yako hujaiweka vizuri...

  Haina uhalisia.. Anyway,kwa hili kila mtu ana majibu yake..
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hapo hakuna cha kufanya zaidi ya kuwaambia kwaheri endelezeni libeneke tu nawaachia chumba nachukua vitu vya kuanzia maisha najikataaa tu!
   
 6. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  naondoka,naenda pale kwa mangi,nagonga konyagi mzinga mmoja,nikishapata steam ntapata lakufanya.
   
 7. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  teh teh teh,wakati huo jamaa anaendelea kula steki ww unapiga konyagi teh teh
   
 8. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Huyo mwanamke si wako... Achana nae...
   
 9. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ina uhalisia mimi nilishaona live wakati nimepanga kuna jamaa alikuwa amezaa na mtu kabla ya kuolewa na mumewe alikuwa anamkuta yule jamaa kila siku ndani na wakati mwingine anawakuta wanasindikizana. Jamaa alikuwa ni mvumilivu sana

   
 10. i

  ivy blue carter Senior Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  duuh! linauma sana ili swala na linahitaji busara ya hali ya juu!
   
 11. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  wao wana msemo wanasema...''awali ni awali hakuna awali mbovu''.....
   
 12. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  sasa nifanyeje? Sikilizia mziki wake nikirudi.yaani ntakavyoshauriwa na nyagi.
   
 13. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Unavumilia tu, si ndo ndoa jamani?
   
 14. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Nyagi itakushauri kuua!
   
 15. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mkuu labda kama haupo kwenye jamii bt haya mambo ni common sana..
   
 16. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwa ushauri wa Nyagi dry unaeza ukaua mkuu...
   
 17. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tulipanga nyumba moja nini? Kiukweli inauma jamani...
   
 18. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #18
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  duh hapo inatakiwa busara ya hali ya juu
   
 19. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #19
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  usipoua unaweza ukalia kama mtoto mdogo. Matokeo yake utaonekana *****.cha msingi ni ku face stuation with sorber mind.
   
 20. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #20
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Inakuwaje hyo sorber mind mkuu? Ila busara kweli inahitajika...
   
Loading...