nikwel ndugu lkn nipo safe kwn najipangia mda wa ku log in na ku log out jf!
via mobile huwa hatulog out.
Halfu huyu jamaa anasahau kuwa humu JF kuna members kutoka mataifa tofauti na time code zinatofautiana sasa inaweza kuwa kwako muda huo ni night kali, kumbe mwenzio ni saa tisa mchana, lol. On the other hand usidhani wote wanatumia computer za ofisini kama wewe. I doubt exposure ya mtuma uzi
kwani mkuu, mbona wewe bado ni mgeni sana humu? subiri siku ukinunua kilaptonga chako, halafu ukawa na vile vitu vya kukfanya uipate net home kwako, I assure you next time ukipost itkuwa "AM ADDICTED TO......." malizia mwenyewe
kwa hiyo unakubaliana na mm kuwa inafikia kipindi mtu anakuwa ADDECTED co?
Wewe umejuaje kama nawewe hushindi unachat masaa 24?Jamani najiuliza sn lkn sipati jibu,kuna members hapa jf wanachat masaa 24! Swali ni kwmba huwa wanajitafutia rizki sangapi na muda wa kulala hamlali hapo inakuwaje?nisaidieni kwa hili plse.
Nilikua staki kuchangia hii thread, lakini hii comment imenivutia sana. Thank you! Halafu mtu kama mimi huwa nafungua jukwaa na threads tofauti kwenye "tabs" tofauti naweza acha mpaka kesho bila ku-log out! Pia sio wote wanaenda internet cafehahahahahaha! Mkwe tena huyu mtu anasema anaona comments zangu usiku. Hajui kama mimi nipo united states of mpwapwa masaa yetu tofauti na ya huko kwenu tz. Lol
Nilikua staki kuchangia hii thread, lakini hii comment imenivutia sana. Thank you! Halafu mtu kama mimi huwa nafungua jukwaa na threads tofauti kwenye "tabs" tofauti naweza acha mpaka kesho bila ku-log out! Pia sio wote wanaenda internet cafe
Watu hawana ajira..wanapoteza mawazo humu JF.
Hizi lugha za watu, nashauri tutumie lugha yetu ya taifa.unatakiwa ufanyiwe canceler
We mwenyewe kutwa upo unachek nani kaingia na nani katoka,nani kaweka thread na nani kacomment ,tena wewe ndo unamatatizo makubwa sana inabdi ukapimwe kwa sababu naona unaingilia majukumu ya server.
huwa nipo na wewe.
Hizi lugha za watu, nashauri tutumie lugha yetu ya taifa.