Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,538
Nope.Basi inatosha tena, tuwekeze akili zetu na maarifa yetu katika kuiendea Tanzania tunayoitamani, sisi tuliyopata kubahatika kuwa kwenye JF, tutumie nyenzo hii kama chachu ya kuponya majeraha si kuwa wachochezi katika jambo ambalo kiuhalisia limeshakwisha, mlango wa mazungumzo upo wazi tuhsauriane, tuelekezane katika kuleta amani, upendo na maendeleo ya watanzania.
Acha kuota ndoto za mchana kuhusu upendo.Basi inatosha tena, tuwekeze akili zetu na maarifa yetu katika kuiendea Tanzania tunayoitamani, sisi tuliyopata kubahatika kuwa kwenye JF, tutumie nyenzo hii kama chachu ya kuponya majeraha si kuwa wachochezi katika jambo ambalo kiuhalisia limeshakwisha, mlango wa mazungumzo upo wazi tuhsauriane, tuelekezane katika kuleta amani, upendo na maendeleo ya watanzania.
You killed those childrenBasi inatosha tena, tuwekeze akili zetu na maarifa yetu katika kuiendea Tanzania tunayoitamani, sisi tuliyopata kubahatika kuwa kwenye JF, tutumie nyenzo hii kama chachu ya kuponya majeraha si kuwa wachochezi katika jambo ambalo kiuhalisia limeshakwisha, mlango wa mazungumzo upo wazi tuhsauriane, tuelekezane katika kuleta amani, upendo na maendeleo ya watanzania.
Hata kwa mujibu wa katiba siyo rais!Ukweli, rough ni nyingi. Kwa mujibu wa katiba haina namna ndio Mh Rais , mitano tena.
Ni kweli mkuu. HP alishatutonya mchezo wao, lakini ndio kaapishwa .Hata kwa mujibu wa katiba siyo rais!
Kwani kachaguliwa kwa uchaguzi gani?
Hizo kura zilihesabiwa wapi?
Ushahidi wa hizo kura milioni 31 alizopigiwa uko wapi?
Huyo si Rais. Ni lidubwasha tu lililojiweka hapo.
Huwezi ukachaguliwa kwa 97.6% halafu uzime internet, uapishwe uani kwenye kambi ya mgambo….
I don’t care kama kaapishwa.Ni kweli mkuu. HP alishatutonya mchezo wao, lakini ndio kaapishwa .
Hapa ni kuangalia alternative ingine, ila hapa tumepigwa bao