Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,455
- 157,885
Unajichanganya zaidi.Mkuu Kiranga, kutokuamini hakukupi mamlaka ya kutoheshimu Imani za wengine.
Mimi naweza nisiamini, lakini haimaanishi nipuuze imani/tamaduni za walionizunguka.
Nimeamua kuheshimu imani zote, ndio maana uzi wangu niliuandika kulingana na Majority ya wasomaji wangu.
Mara kila mtu ana imani yake, mara hata wewe huna imani kihivyo, mara umechomekea jambo la imani ambayo hata si yako katika jambo ambalo hata halihitaji imani.