Wewe ni mbadala tu, sio chaguo la kwanza

Wewe ni mbadala tu, sio chaguo la kwanza

Hapo kanuni ni kuforce mambo tu... Unaempena muoe hata kwa ndumba awe X awe Y oa huyo mtanyooshana kisha mtachoka mtasettle.
Kwanini uinyime roho kitu inapenda bana.
Mkuu mapenzi huwa hayalazimishwi, yanakujaga tu yenyewe automatically bila ya kufosiwa.

VISA VYA USALITI VINGI SABABU HUWA PAST RELATIONSHIPS.
 
msamehe mkurya huyu
Kazi Kweli Kweli

Kwahyo hukuona bandiko langu lilivyotumia Lugha Sahihi?

MAGUFULI NDIO ALIKUWA ANASEMA "Msema Kweri ni Mpenzi wa Mungu", namimi nimetumia maneno hayo kama sehemu ya kunogesha Uzi.

Mimi sio Mkurya, acha mbwembwe za kitoto Dogo.

HIVI SHULE MNAFUNGUA LINI?

Usisahau kumwambie Mlezi wako akufundishe kuwa na nidhamu kwa watu waliokuzidi kilakitu.
 
Hata zamani hawakuoa machaguo yao ilikuwa unachaguliwa ukaoe familia gani wazee walitafuta familia yenye binti aliyefikisha umri wa kuolewa na unambiwa nenda kaoe pale.
Walizingatia Tabia na Malezi ya anapotokea Mchumba.

Tabia njema zinaambatana na KUJITUNZA Mkuu.
 
Kwenye pitapita zangu JF nikakutana na Uzi unaosema "kipi kilisababisha uachane na mwenza wako wa maisha".

Aisee! Ukiusoma ule uzi utagundua kuwa watu wanao oa/kuolewa ni Option tu na sio kwamba wanapendwa sana kuliko Maex.

Chengine nilichogundua ni kwamba, watu mpo na wake/waume za watu ndio maana matukio ya usaliti ni mengi sana kwenye ndoa za sasa.

Ushauri
KAMA KUNA UWEZEKANO OA/OLEWA NA BIKRA.

-MUUMBA HAKUKOSEA KUSEMA MSIIKARIBIE ZINAA, MADHARA YAKE NADHANI TUNAYAONA KWA KUKAIDI AGIZO LAKE.

Bikra sio guaranteee, tafuta mnayependana. Kwa wanaume heshima na adabu ni bora zaidi

Muonekano au swaggs usikuchanganye. Watu wanaingia sababu ya muonekano, hawajali pasts. Ndio maana matukio ni mengi
 
Thibitisha huyo muumba yupo kweli kwanza.

Isije kuwa umejazwa hadithi za watu tu, na wewe unatujaza hadithibza watu ukizojazwa.
 
Mkuu mtu anaweza kukwambia anakupenda lakini Still moyo wake upo kwa mwengine
 
_20231206_123951.JPG
 
Thibitisha huyo muumba yupo kweli kwanza.

Isije kuwa umejazwa hadithi za watu tu, na wewe unatujaza hadithibza watu ukizojazwa.
Hahaha kila mtu ana imani yake Mkuu Kiranga.

Mimi siwezi kuiweka imani yangu wazi, ila ninaongelea majority ya watanzania wanao amini Mungu.

HUWEZI JUA KUWA MIMI NAWEWE TUPO UPANDE MMOJA KWENYE KUTOAMINI.

Yangu ni hayo tu!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mpaka hapo ushajichanganya.

Ushajiondolea uaminifu kwamba unaandika unachomaanisha na si unawachota watu akili tu.
 
Mpaka hapo ushajichanganya.

Ushajiondolea uaminifu kwamba unaandika unachomaanisha na si unawachota watu akili tu.
Mkuu Kiranga, kutokuamini hakukupi mamlaka ya kutoheshimu Imani za wengine.

Mimi naweza nisiamini, lakini haimaanishi nipuuze imani/tamaduni za walionizunguka.

Nimeamua kuheshimu imani zote, ndio maana uzi wangu niliuandika kulingana na Majority ya wasomaji wangu.
 
Back
Top Bottom