Tuambizane.
PHD in Acid throwing on faces and drugs trafficking via JNIA.
jamani hili swali lina ugumu gani mbona mnaleta complication zisizo na maana? au humu ndani tumejaa vihiyooo
Mimi nina Bachelor Of Banking & Finance.
Samahani mkuu,
Niwie radhi kwa maana hakika kusudi langu halikua ubaguzi bali nilitaka tu kujua taaluma za wanaJF mbal mbal. Niwie radhi!
Leo langu mbona liko wazi kupata kufahamiana taaluma mbali mbali? Ili kwa mfano labda ukaingia katika legall issues, je kupita hapa JF huwezi kupata msaada kutokana na wataalam wa sheria humu ndani? Mambo mengine tunacomplicate tu. Mbona ilikua issue easy tu mkuu au kuna kilichojificha? Tujuzane!