Wewe mwana JF una taaluma gani?

Wewe mwana JF una taaluma gani?

Bora umeona mkuu? Sijui kuna dhambi gani kwenye swali hili, sasa mtu kama hana shahada si anaikaushia thread?
wasamehe bure tu. si unajua wikiend halafu mifukoni hamna kitu labda next week watakuwa hawana tress
 
BCOM, CPA na masters in finance izo ndo shahada zangu uliza swali lingine!
 
Leo unataka shahada siku ingine utaomba attachment ya vyeti sijui unataka wakuwaajili kusafisha vikombe vya babu.
Mi nina shahada ya ulezi kwa familia.
Nina ya BA Ed
 
..,..bado nasubiri shahada yangu toka time ya uchaguzi maana umri wa kuipata nimetimiza
 
Samahani mkuu,
Niwie radhi kwa maana hakika kusudi langu halikua ubaguzi bali nilitaka tu kujua taaluma za wanaJF mbal mbal. Niwie radhi!

Na siku hizi simu zetu za mchina zinaruhusu tu uingie JF popote pale ulipo;Kijana wangu hapo anajipigia kiroba chake then akatubandikia ujumbe hapa right away!

Tutarajie mabandiko ya ajabu zaidi ya haya maana ndiyo faida na hasara ya kukua kwa techno!
 
Bachelor of Business Management (Financial Management). Natafuta kazi, kama unamchongo nistue tafadhali.
 
Naomba nitoe somo. Shadada sio elimu. Kuna walioelimika sana lakini hawana shahada, na kuna wenye shahada lakini elimu kiduchu sana. Nadhani unataka kufahamu wana JF wameelimika kiasi gani.

Nafahamu mtu alikuwa na MA zamani lakini sasa hana elimu. Hata mtihani wa Form Six atafeli. Tena itabidi utofautishe kati ya elimu na maarifa.
 
Mie nina shahada ya utapeli. Inajumuisha udaktari, uchungaji, ubalozi wa nyumba kumi, ujasiriamali na ukungwi na ulezi wa watoto.
 
Nina Bachelor of Arts in Accounting & Finance

Niko chuon namalzia Research ya MBA Finance
 
"Mie nina shahada ya ndoa niliyoipata mwaka 1997 kutoka kwa kada mmoja wa chama cha magamba aliyekua mkuu wa wilaya ya ......... Roho imesita asije akaning'anya nikabaki bila shahada."
 
Back
Top Bottom