Je, una furaha au una raha?

falcon Q

JF-Expert Member
Feb 28, 2023
788
2,119
Salamu ni uungawana. Habari wanandugu niwape pole na hongera kwa Jumapili hii njema kabisa. Na kama miongoni yupo mwenye changamoto ya kiafya basi Mungu amfanyie wepesi akae sawa kwa changamoto zingize tuendelee kupambana.

Nina jambo dogo tu tuweze kujifanyia tathimni katika maisha yetu ya kila siku vipi una raha au una furaha? Furaha yako ni ya mda gani? Furaha Inadumu au ndo shwaa kama radi unarudi kushika tama tena? Unafanyaje kupata furaha yako. Achana na raha itafute furaha raha haidumu furaha hudumu milele

Muwe na jumapili njema.
 
Sikumbuki mara ya mwisho kuwa na furaha ya kudumu ni lini toka nimeanza kupambana furaha yangu ni yaku unga unga sana nahisi nashida mahala japo maisha sio mabaya sana ila sina furaha.
 
Stop worrying and start living mkuu hakuna mtu ameondoka au ataondoka kwenye hii dunia akiwa amemaliza kila kitu mkuu hata bakhresa na Mo wataacha mission incomplete.
 
Ukweli wengi wetu huwa tunaishi tuu siku ziende.Binafsi hakuna kitu kina Drain my energy rather than rela
 
Ntaishi na hii
Just enjoy mkuu avoid focus on the things you can't control at all costs like time and wealth hivyo vinamilikiwa na mungu kuvipata na kupoteza ni sekunde tu mkuu kule hanang kulikuwa na matajiri ila leo hii hawana nyumba wala gari wanaanza upya wengine wamepata ukilema hawawezi kuwa tena kama zamani the biggest wealth in human being is healthy vingine vyote we posses we don't own it possession means you can have it or not like in football live now forget about your past you can't control focus on your future but don't worry just enjoy the show.
 
Ni zaidi ya psychologist shukran sana brother.
 
Is incredibly Quote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom