Wewe dada tambua sisi sio milima

Wewe dada tambua sisi sio milima

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
645
Reaction score
1,549
Dah! Sina mengi ya kusema ila wewe dada tambua sisi sio milima ipo siku tutaonana tena.
Mimi sio wa kunilia hela yangu ya nauli au kwa kua nilijiongeza nikakutumi kibunda, mbaya zaidi unazima simu huku status umepost wimbo wa Diamond eti
aibu yahani haya naona mimi tumekutana leo eti kaniamini.

Mimi sina mengi one day utajaa tu kwenye mfumo labda kama kwetu sio Ukerewe.
 
Yupo humu Jf?
 
U

limtoa humu mkuu
 
Think2 , SweetyCandy , mekutana na jamii za hivi kwenye urogi ila mkurya hawezi kujiapiza hivi, yeye atakungoja siku mmekutana mnamalizana
 
Unajua huna hela ya kutosha unajitutumua kutafuta wanawake wa mbali wa kutumia nauli afu humjui, unatapeliwa hadi unawaza urogi wa kikerewe unataka kumtumia mamba 😃😃😃
 
Mkuu, Wewe ni Msukuma?
Dah! Sina mengi ya kusema ila wewe dada tambua sisi sio milima ipo siku tutaonana tena.
Mimi sio wa kunilia hela yangu ya nauli au kwa kua nilijiongeza nikakutumi kibunda, mbaya zaidi unazima simu huku status umepost wimbo wa Diamond eti
aibu yahani haya naona mimi tumekutana leo eti kaniamini.

Mimi sina mengi one day utajaa tu kwenye mfumo labda kama kwetu sio Ukerewe.
 
Dah! Sina mengi ya kusema ila wewe dada tambua sisi sio milima ipo siku tutaonana tena.
Mimi sio wa kunilia hela yangu ya nauli au kwa kua nilijiongeza nikakutumi kibunda, mbaya zaidi unazima simu huku status umepost wimbo wa Diamond eti
aibu yahani haya naona mimi tumekutana leo eti kaniamini.

Mimi sina mengi one day utajaa tu kwenye mfumo labda kama kwetu sio Ukerewe.
Yeghooo
Hahahahahaa, kimekurambaaa muraa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom