nachasudwa
Member
- May 17, 2015
- 72
- 34
Maisha yako yangekuwa haya tuhusu usinge tuletea Uzi huu,kwahiyo soma elewa na lizika na kile utakacho shauliwa au kujibiwa na si ndo lengo lako haswa LA kuleta Uzi huu tuuchambue na kuujadili,una Uhuru wa kusema chochote ila usiwasemee wanaume wenzio kila MTU anajua anacho taka,usicho kitaka wewe wenzio wanakiona chema,na unacho kitaka wewe kuna wanao kitaki pia,dunia IPO hivyo nafsi yako haitaki kitu ni wewe,usitukane au kuzalilisha mwanamke kwasababu ya mtazamo wako,kuwa na busara na hekima japo kidogi basi..Kila mtu na maisha yake. Kama wewe hela ndo kila kitu kwenye maisha yako endelea kuzitafuta uwe nazo nyingi. Mimi niache na maisha yangu na wala hayakuhusu.
Sometimes, never take too seriously issues written in jf especially MMU. Moreover, don't personalize them. Most of them are fictious aiming to amuse people and stimulate the discussion. Got me buddy?Maisha yako yangekuwa haya tuhusu usinge tuletea Uzi huu,kwahiyo soma elewa na lizika na kile utakacho shauliwa au kujibiwa na si ndo lengo lako haswa LA kuleta Uzi huu tuuchambue na kuujadili,una Uhuru wa kusema chochote ila usiwasemee wanaume wenzio kila MTU anajua anacho taka,usicho kitaka wewe wenzio wanakiona chema,na unacho kitaka wewe kuna wanao kitaki pia,dunia IPO hivyo nafsi yako haitaki kitu ni wewe,usitukane au kuzalilisha mwanamke kwasababu ya mtazamo wako,kuwa na busara na hekima japo kidogi basi..
I know karma is there for people who really ill-treat others. I'm a joker, have written this just for amusement. So karma will never fire back on me. But thanks for your comment.Huna dada wala mdogo wako wa kike ndio maana unaropoka Kama mwanaume chizi.
Huna mtoto wa kike that why huelewi unachoongea.
Subiri zamu yako ili uisome namba.
Life is all about revenge.
Stay tuned
Mxiiiiieeeew!I know karma is there for people who really ill-treat others. I'm a joker, have written this just for amusement. So karma will never fire back on me. But thanks for your comment.
Uzi wangu utakuwa umekugusa mkuu. Pole. Lkn mm nilitupa jiwe gizaniMxiiiiieeeew!
Mdada wangu ana 37Wambie, wambie. Tangu 14 mpk 34 anakuwa amegongwa na lundo la wanaume wenye kuweza kujaza kijiji. Halafu unaenda kuoa. Unatafuta nuksi za kijiji cha hao wanaume.
Oa tu kama mmeliziana tena huyo anaweza kuwa na nizamu hatari maana anajua akifanya suuu unamkimbia, unaweza oa 25yrs ukaona umepata kumbe umeokota galasaMdada wangu ana 37
Mi 31.
Tunatarajia kufunga ndoa soon.
Hapo sijui mtasemaje
Atakuwa ameachwa huyu sio bure kaja kulipa kisasikwan yupo humu
Kuachwa kubaya shoo usikie tu unaweza dataAtakuwa ameachwa huyu sio bure kaja kulipa kisasi