Weusi kufulia baadae sana

Weusi kufulia baadae sana

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,669
Hawa jamaa wako vizuri, kila ngoma wanayotoa kali. Nasikiliza wimbo wao mpya 'Safari', ni nzuri kwa kweli. In short, game ya Bongo wanaiweza, watasavaivu muda mrefu wasipotengana!
 
Achana na hiyo Miamba ya Kaskazini ni Sheeeedah!
 
Tatizo siyo kupotea! tatizo je unapiga show na unaingiza hela kiasi gani! unaweza ukawa na jina kubwa na kila mziki unaotoa ni mkali ila mfukoni huna masimbi huo ni ujinga ulio tukuka!
 
Kweli kabisa,hao kufulia mpaka labda xxl isiwepo.
 
Jamani nampenda Haika sijui kafunika kwenye huo wimbo
 
wanalipwa 40 mill per show kama domo?
 
Last edited by a moderator:
Weusi ft cauple's (jux na vanassa, nahreal na Haika) mpango mzma ngoma imekaa poa xana
 
Arusha kwenye Map, Weusiiii a.k.a ma Benjamin mkapa wa game
 
"Wanampa promo ila kwenye show nammeza" by fid q

Fid ana mistari ya moto sana halafu inazungumzia maisha halisi ya mtz

Kwenye ile nyimbo ya 13 aliyoimba na bele 9 na young killa kuna mstari huwa unaniacha hoi sana

Eti masikini nakomaa hadi naota ukungu!!
 
Wasibamota,waguma,agandi..
Huyo mchaga haika nampenda hakosei.
Sema wimbo sijausikiliza
walalotaige?
..galungi muno..tugumile! washeleilwe? ....
Wimbo mzuri sana ingia hapa huupakue unaitwa safari! ..www.mkito.com
 
Fid ana mistari ya moto sana halafu inazungumzia maisha halisi ya mtz

Kwenye ile nyimbo ya 13 aliyoimba na bele 9 na young killa kuna mstari huwa unaniacha hoi sana

Eti masikini nakomaa hadi naota ukungu!!

Mstari mwingine huu "nafasi nilizo zichezea inawezekana zisirudi ila naweza zitengeneza nikizidisha juhudi"
 
Hakuna wimbo hapo promo tu kuubwa,big g hiyo haifikishi mwezi...mnashikwa masikio tu
 
Back
Top Bottom