na wewe umeona eenh!?nilwahi kumwambia izzo kuhusu hili akiwa hajatoka kabisa,Mbeya kule.alikua na nyimbo inaitwa 'wananongóna'.lyrics za kawaida ila zingewweza kabisa kumtoa ila dog alikua anachana kama Fid kabisa aisee.yaani gandamizia ileile,tukamwambia utachelewa sana kutoka na akija mwenye 'hatimiliki' ya hiyo flow utaimba nini jamaa!?aliniona mkuda sana..... ila baadae rafiki ake akaniambia hata yeye izzo kaanza kuelewa!
unaweza sample ala,na kwa ruhusa ya mwenye nayo,hata mashairi.ila flows kwenye hip hop hapana!haikai sawa tu ukizingatia utamaaduni wa muzii wenyewe[/
Sijui kigumu hapa kwa data kuelewa kilikua nini...au ndio ushabiki maandazi!?