Weusi kufulia baadae sana

Weusi kufulia baadae sana

Ningekuona wamaana kama ungejibu swali na sio kuporomosha matusi yasiyokuwa na msingi apa... Chakwanza ujui mziki.. Ndio maana unamfananiasha Joh na Izzo au weusi na Izzo...

Uko nomal kweli wewe....!!??
 
Wanapewa promo halafu na wao wanajiona wanaweza kweli.hamna kitu hao jamaa hawana kbs fleva yaani kama wanapiga story tu kijiweni

Unajua maana ya Hip hop wewe ...!!?? Hakuna kama weusi kwa hii Bongo nzima... Wacha wana Hip Hop bongo waimbe weee ila jamaa yuko juu yao... Ukitaka kuamini udhuria show yake moja Joh kama Joh na sio weusi familia. .
 
Ningekuona wamaana kama ungejibu swali na sio kuporomosha matusi yasiyokuwa na msingi apa...
Chakwanza ujui mziki..
Ndio maana unamfananiasha Joh na Izzo au weusi na Izzo...
Uko nomal kweli wewe....!!??

---- mwingine huyu hapa anaedhani najali yeye kuniona wa maana!
usirukie mada bila kusoma post ya msingi kwanza binti!

post yangu ya msingi iliunga mkono hoja ya msanii mmoja kusikika kama mwingine,Joh kusikika kama Jigga n later alitajwa IZO na mtu niliem copy.nikasema at first IZZO ALIKUA ANACHANA KAMA FID na wadau,nikiwemo mimi,walimwambia siku akikutana jukwaa moja na mtu anaem copy itakuaje!?

Sasa boya mmoja kama wewe akasema nimewafananisha Weusi na Izzo,sijui upuuzi gani mwingine na kuita wasioamini kama yeye mburula.then unaibuka wewe,bila kusoma post ya msingi na kuelewa unawashwa na kuanza kuchangia usivyovijua! eti weusi na izzo!

wapi umeona nimeandika hivyo au wewe na yule mwenzio wote mnafikiri kwa kutumia ''spika''!?.wewe sio wa kuniambia whether najua au sijui muziki...hunijui.nikijuacho kuhusu muziki kinatosha kujua vya msingi kabisa kuuhusu.

sio lazima wote wawakubali wasanii unaowakubali wewe.some of us simply do not fit in your stupid teams!

na kwa faida yako siku nyingine...the word is ''NORMAL'' not ''nomal''!
 
Mboyoyo mingi kelele...
Huna chazaidi ya bla bla ...
 
Kuna dogo anaitwa Country Boy. Dogo anafanya hiphop ya ukweli sana
 
Back
Top Bottom