Kama US na UK hawataki kumweka Tsivangira...Then ni nani huyo wanayetaka kumuweka?
Ama sijakuelewa?
Be specific unaposema hawataki kumweka!
Je ni kwanini hawajafanya lolote kule Darfur?
AMA ZIMBABWE TU NDO WENYE SHIDA?
SISI WENYEWE WENYE SHIDA AMBAYO WAO WENYEWE WANAIJUA KUTOKANA NA KASHFA ZOTE NA HATA BALLALI KUKIMBILIA KWAO...Kama hii ndio demokrasia na haki....! Then...
WAPI BALLALI?
Waache haya mambo mapema la sivyo nitawatoa nishai na wataumbuka!
Tusiharibu hii thread.Pengine uwezo wako wa kuelewa na kuchambua mambo ni mdogo.
Kama Britain na USA wanafanya mapinduzi ya kijeshi au wamehamisha Waingereza kwenda kupiga kura hapo nitakuelewa. Lakini kama ni Wazimbabwe ndo wanapiga kura ya kuamua nani awe rais, then SIO Britain na USA wanaomuweka Tsvangirai madarakani.
Kuhusu Darful sema sielewi chochote. Britain na USA wamefanya kama walivyofanya Zimbabwe, vikwazo, pesa na vifaa kwa jeshi la kulinda amani na baadhi ya maazimio yamekwamishwa na Mchina.
Au ulitaka wapeleke wanajeshi wao? Hivi wangepeleka wanajeshi wao Zimbabwe ungesemaje? Hilo jibu ni mojawapo ya sababu zinazowafanya wasipeleke jeshi huko Darful.
Kina Morgan katika nchi za kiafrika wamejaa wengi mpaka wanamwagika! hata Bongo tunao. Yaani ukiwahakikishia support na umaarufu, basi wako tayari kuuza hata utu wao. HIvi tujiulize, kuna siri gani ambayo Mbeki anayo na inamfanya amdharau sana Morgan?
We should not blame western coutries for anything in Zimbabwe while we are doing nothing!. If we all care then lets us do something to fix the problem instead of blaming western coutries everyday, if Mugabe real care about blacks farmers where are they now? In south Africa and treated like animals. We should stop blaming western coutries and step up as Africans.
Bila kujali motive ya westernes, mtu anayesababisha mamilioni ya raia wake kukimbia nchi kwa njaa na matatizo mengi hastahili kuwa kiongozi Afrika.
Hawa ndio wanaipa nguvu dhana ya Ngabu....wanaabisha Afrika.
Jmushi1,
Mkuu usinielewe vibaya kwa sababu sikulitaja jina lako lakini kama umesoma vizuri nimesema sintapenda kurudia yale yaliyotangulia...sikumtaja mtu jina isipokuwa ujumbe wangu ulikuwa kwa Field Marshall Es ambaye alizungumzia zaidi mauaji yanayotokea Afrika.
Swala lako limesimama zaidi ktk siasa za Bongo ambazo binafsi sina ufahamu sana, na sielewi Kitwete na CCM wamesimama wapi zaidi ya kukisia..swala la Taifa kuuzwa letu na matukio ya Zimbabwe nashindwa kuyaunganisha kama unavyofanya wewe unayefahamu..
Kifupi waswahili wanasema ukiona watu kimya ujue wanajaribu kutafuna kabla hawajameza! kisha ndio uunaweza kuzungumza ndio ustaarabu wetu...