WESTADI, kuweni serious!!!!!

kotinkarwak

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
376
114
Nimepokea email kutoka kwa hawa jamaa baada ya kujaza details zangu kwenye ukurasa wao.
Nikiangalia nani ananitumia e-mail naona kuwa anatumia free gmail.com email account na zaidi, hiyo e-mail pia ipo 'forwarded' kwa mtu mwingine anayetumia NSSF.or.tz account.
Kuweni serious!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hauja ainisha Tatizo hapo. Wewe tatizo lako liko wapi hapo? Tatizo ni wenyewe kutumia gmail? au tatizo ni kuwa na fowarded email ya NSSF account? Si unajua kwamba Westadi ni NSSF's scheme au hulifahamu hilo?
 
Hauja ainisha Tatizo hapo. Wewe tatizo lako liko wapi hapo? Tatizo ni wenyewe kutumia gmail? au tatizo ni kuwa na fowarded email ya NSSF account? Si unajua kwamba Westadi ni NSSF's scheme au hulifahamu hilo?

Tatizo ni pale kampuni au shirika linapotumia details zako kwenye mitambo ambayo haukutegemea, wao kuwa na email account official ya nssf ndio wanayopaswa kuitumia.
Je kwa mfano, hiyo email account ya gmail ikiwa hacked au mwenye hiyo account akawa registered kwenye mitandao jamii mfano facebook nk wao hukusanya au kupendekeza marafiki wake (in this terms contacts wake) watumiwe e-mail. sasa ndipo unapoanza kupata e-mails za ajabu ajabu kwenye account yako kwani e-mail yako imekuwa "shared" au harvested na hacker tools.
Kwa nini official communcation wasifanye kwenye official e-mail account ndio ishu hapa...
 
Back
Top Bottom