Weraaa weraaa.....walioconfirm safari ya Tanga......

Weraaa weraaa.....walioconfirm safari ya Tanga......

Dah mpaka sasa ni wanne tu? Anyway mtanikuta
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Erickb52 labda nikujulishe kuwa tangia siku ile ya kikao cha Meru View niliona tarehe iliyopangwa itakuwa na challenge kwangu. Nilipenda ingekuwa kabla ya christmas au hata baada ya mwaka mpya kuliko tarehe iliyopangwa, but all is well, ndo maana nilisema ntakuwa wa mwisho kuchangia........ personally nilishajiandaa kwa safari, ninachosubiria ni jinsi gani mambo yataenda vizuri, bahati mbaya tegemeo la tarehe tajwa ipo nje ya uwezo wangu, nasubiria mambo ikiwa sawa ndo ntaenda.
Nnatamani sana nifike Tanga!
cc: Preta, PakaJimmy, Blaki Womani, Mzee wa Rula, LiverpoolFC, marejesho, Filipo na mke wangu Lily Flower
 
Last edited by a moderator:
Hujambo weye...ndio nini kujificha hivyo, watutesa kwa pressure ya kukumiss lol!!

he he he....pole....nilienda Handajega kwa anko......ulinimiss sana eeeh......
 
he he he....pole....nilienda Handajega kwa anko......ulinimiss sana eeeh......

Very much dear na vile ambavyo ni ngumu kujua kama upo online au lah!....nilijua bado upo jimboni dear...
halafu dear mpigie kura charminglady kwenye umiss wa CC...mwaah!!
 
Maspoota KOKUTONA! Nikija naomba unifundishe kula senene 'and many more' Source: Filipo!

Salama kabisa Arushaone, hata kumbikumbi nitakufundisha kula, achilia mbali kutafuna kahawa lool.

Na many more.........lol, sijui ndo zipi hizo many more. Filipo mwenye source tupe mwangaza.

Karibuni Tanga.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom