Abeee mke mwenza! Unasema?
Ahsante mpendwa! Mie bukheri kabisa mpenzi, khofu kwako tu dia!Ni salamu tu mke mwenza
Nahesabu siku tu mnikute nimejaa tele kama pishi la mchele, Tanga kuzuri jamani, Chuda raha makorora tunadeka
Ahsante mpendwa! Mie bukheri kabisa mpenzi, khofu kwako tu dia!
Hahaaaaaaa shindwa wewe!
Hahaaaaaaa shindwa wewe!
Mkuu mbona hujaconfiim!
Ikibidi tutakwenda zetu kujikumbushia honeymoon!!Isiwe tabu!!!
Ahsante mpendwa! Mie bukheri kabisa mpenzi, khofu kwako tu dia!
Mkubwa Mwanyasi,Karibu sana mtatukuta tuwapeleke baharini (bahari imetiwa iliki) kuogelea.