haya baba, furahia maisha. I hope 21st sio mwisho wa dunia kama ilivyotabiriwa. Kuya maisha kufashi ya visiwani!hahah haya bhanaa wakati nyie siye wengine tutakua kwa cruise ship...tunaanza safari tar 24 hivi, chrismas visiwa vya karafuu, boxing day tutakua Wete halafu 28 ndio tunatia nanga kule mapenzi yalipozaliwa
bora umwambie kabla sijageuza jinsia yake kuwa "jinsia isiyo na wizara maalum"
Ki michelle taison au,!??? maana
nina mke na watoto sita, naruhusiwa kuwajoin kwenye safari ya Tanga?
Hahahaha! Mke mwenza fastjet wamegoma kunipeleka safari ya tanga... NiPM namba ya huyo x shemu wangu nimwambie kabisa aniandalie chumba cha uani mie.wewe si nilisikia fastjet wanafadhili safari zako za mwaka mzima? Usijali, nna mchumba wa zamani nyumbani hotel, ndo mshika vifungua vyumba. Tuna free accomodation.
Khaaa! Lolest! Umepinda wewe.Hakuna mwanaume anayejua baba wa mtoto wewe?
Hakuna mwanaume anayejua baba wa mtoto wewe?
you'll be the first to know buddy!!!
yeah thanks alots jaman
naona kuna mtu anataka kuvuliwa ubunge hapa!!
Hivi kweli ndugu yangu,
We mwili wote umejaa misuli, kwanza unamuangaliaje labda?
Mume kama zimwi bhana . . . .khaaa!!
(Munisamee lakini LOL!)
Tena akutake radhi wewe wa kwanza dady manake wanao tulivyofanana na wewe hata huulizi mara mbili.
Filipo atakuwa amewahi kukamatishwa ndio mana ana hasira.
Wakuu.....muda unasogea na bata tunataka kula.....bila kuwezesha itakuwa maneno mbofumbofu.....
hivyo basi......kamati kuu imependekeza....tarehe ya mwisho ya kupokea mshiko ni 21st Dec 2012.....ili kuweza kupanga mipango rasmi ya safari nzima........hii inawahusu wote watakaoanzia safari Chugga.......
Wafuatao ni members ambao wamewakilisha michango yao kwangu.......na nitaendelea kuwaorodhesha kadri nitakavyopokea michango yenu...........
1. Filipo
2. Marejesho
3. PakaJimmy
4. Preta
Kwa maoni na ushauri.....usisite kuwasiliana nami au PakaJimmy..........
Tafadhali: Naomba tusichakachue thread......kwa wanaouliza nauli ni Tshs 100,000.... M-pesa haihusiki.........