webondo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 1,713
- 382
Hahahahahah! Umenivunja mbavu mie!sipati picha
unamaliza sala na kusema ameen,,,halafu unamwambia sasa mama kinachofuata ni 'chuma mboga'
geuka basi.....lol
Hahahahahah! Umenivunja mbavu mie!sipati picha
unamaliza sala na kusema ameen,,,halafu unamwambia sasa mama kinachofuata ni 'chuma mboga'
geuka basi.....lol
nikiwa kama mume tena wa ndoa takatifu na nijuaye wajibu wangu, nadhani masuala ya maombi wala hayahitaji ushauri kwa sanaasikwambie mtu TIMING kwanza game ya kupiga ukiwa umeiombea na umetakasa miili yenu kwa nia ya kupeana raha na ukaviteka viungo kwa ajili hiyo lol huwa ni tamu usipime yaani hata kama hulii siku hiyo itakuliza. manake moyo hufunguka kupita kiasi na hupelekea kumuona mwenzi wako kama lulu mbele zako lol.anza uone you will tell ma dearest
Moto umesemw, vizuri kuwa ni wazo zuri nami nasema ni lazima kuliombea if at all wewe ni mtu unayemwammini Mungu.to my experience kuombea tendo la ndoa hakulipunguzii ladha ala uwezo wa kujiachia hata kidogo. Tena kama mkiweka ni utaratibu wenu huwa mnakuwa huru sana skiliza nikwambie kaka yangu wa moyoni kuna binti aliolewa 6 yrs hafurahii tendo la ndoa ndani hadi akaiita mshedede wa mumewe ndizi kisukari. akaanza kutafuta mabwana nje alipokuja kwangu nikamsikiliza nikamwamabia sasa bi dada anza utaratibu wa kuiombea hiyo ndizi kisukari tena mwambie Mungu kabisa kuwa unataka ikupe raha na uisikie na mwombe akupe amanai wakati wa tendo zima. Alipoanza sikujua but nilisha ngaa anapiga simu huku akiwa mwing wa furaha ananiambai dada yangu siamni sasa hivi naifurahia. nikamwambia Mungu huwa anaangalia haja za mioyo yetu so kila umwombacho lazima akupatie.
pia ni kwakua tu tumezoea kufanya pasi kusali lakni Mungu mwenyewe katika vitabu vyake vitakatifu ameagiza uombea tendo hili wenzetu waislamu wanawazidi katika hili manake wao huwa wanaombeaaa laknai siye wakristo tunabaki tu eti hadi wakati nataka mtoto. ifanye kuwa ni routine tamka hata msitari mmoja b4 the action halafu utaona raha ya tendo lenyewe.
Hapo pekundu sasa nimekuelewa vizuri gfsonwin, kumbe hata nikiomba kimoyo moyo inatosha! Basi mwenzio nilidhani unamaanisha ile formality kabisa ya wote wawili mnapiga magoti mnasali halafu ndo mnaanza mchezo. Ndo maana nilikuwa nashindwa kupata picha maana nilikuwa najaribu kufikiria, ukitaka cha jikoni muombe kwanza, cha bafuni muombe kwanza, cha kwenye makochi sebuleni muombe kwanza, cha asubuhi asubuhi muombe kwanza, cha sijui wapi muombe kwanza loh!
Hapo sasa nipekupata vizuri, ahsante kwa ushauri
Bishanga hiyo hiyo inafaa sana manake Mungu huangalia moyo wa uliye muomba na anatimiza haja za mioyo yetu lolest. its good to pray before and after love making na hii hupunguza incidence za kuanguka majaribuni sana tu. it has worked to me.let me try to imagine:
E Mola mwingi wa rehema,mimi bishanga na mpenzi wangu The secretary, tunajileta mbele yako e Baba,unavyotuona ndo tushavua nguo,sasa Baba wa mbinguni tunaomba niniliyu ya Bishanga pamoja na kwamba imefungwa POP isisinyae katikati ya tendo,e Baba na ikifyatua risasi ziwe za uzao mwema.......
na mkimaliza:
E Baba ona wanao tulivyolegea,tunasikia kiu,hata nguvu ya kwenda kwenye jokofu hatuna,tunaomba e Baba kama mmoja wetu ana vidudu visihamie kwingine......
dah! gfsonwin una mambo!
Bishanga hiyo hiyo inafaa sana manake Mungu huangalia moyo wa uliye muomba na anatimiza haja za mioyo yetu lolest. its good to pray before and after love making na hii hupunguza incidence za kuanguka majaribuni sana tu. it has worked to me.
weka sampo ya sala yako hapa...lol!
Ni usiku mnene kama kawaida wengi wenye wenzi mmelala kupeana joto. Mimi nieona nimwache wa moyoni kidogo nije niwaulize maswali yafuatayo katika mapenzi.
je umeewahi hata siku moja kuomba ama kusali kabla na baada ya kufanya tendo la ndoa? kama ndiyo waionaje amani na raha uipatayo kwa kuliombea tendo hilo na kama hapana unaonaje karaha uzipatazo kwa kutokumtanguliza Mungu wakati wa hilo tendo?
sipati picha
unamaliza sala na kusema ameen,,,halafu unamwambia sasa mama kinachofuata ni 'chuma mboga'
geuka basi.....lol
let me try to imagine:
E Mola mwingi wa rehema,mimi bishanga na mpenzi wangu The secretary, tunajileta mbele yako e Baba,unavyotuona ndo tushavua nguo,sasa Baba wa mbinguni tunaomba niniliyu ya Bishanga pamoja na kwamba imefungwa POP isisinyae katikati ya tendo,e Baba na ikifyatua risasi ziwe za uzao mwema.......
na mkimaliza:
E Baba ona wanao tulivyolegea,tunasikia kiu,hata nguvu ya kwenda kwenye jokofu hatuna,tunaomba e Baba kama mmoja wetu ana vidudu visihamie kwingine......
dah! gfsonwin una mambo!