Wenzi mwalifamu hili?!

asikwambie mtu TIMING kwanza game ya kupiga ukiwa umeiombea na umetakasa miili yenu kwa nia ya kupeana raha na ukaviteka viungo kwa ajili hiyo lol huwa ni tamu usipime yaani hata kama hulii siku hiyo itakuliza. manake moyo hufunguka kupita kiasi na hupelekea kumuona mwenzi wako kama lulu mbele zako lol.anza uone you will tell ma dearest
nikiwa kama mume tena wa ndoa takatifu na nijuaye wajibu wangu, nadhani masuala ya maombi wala hayahitaji ushauri kwa sana

Ila nikiwa pia kama mtoto wa kitaa, na nijuavyo mimi kwenye mafundisho ya ndoa hawafundishi romance, wala maujanja ya triple block wala kafa ulaya

ushauri mzuri kwa vijana
 
Tatizo mtambuzi tuliaambiwa kushiriki lile tendo kabla ya ndoa ni uzinzi, kwahiyo kuiombea dhambi ni kama kutenda ile dhambi tuliyoambiwa haisameheki(kumdhihaki roho mtakatifu)
 
Moto umesemw, vizuri kuwa ni wazo zuri nami nasema ni lazima kuliombea if at all wewe ni mtu unayemwammini Mungu.to my experience kuombea tendo la ndoa hakulipunguzii ladha ala uwezo wa kujiachia hata kidogo. Tena kama mkiweka ni utaratibu wenu huwa mnakuwa huru sana skiliza nikwambie kaka yangu wa moyoni kuna binti aliolewa 6 yrs hafurahii tendo la ndoa ndani hadi akaiita mshedede wa mumewe ndizi kisukari. akaanza kutafuta mabwana nje alipokuja kwangu nikamsikiliza nikamwamabia sasa bi dada anza utaratibu wa kuiombea hiyo ndizi kisukari tena mwambie Mungu kabisa kuwa unataka ikupe raha na uisikie na mwombe akupe amanai wakati wa tendo zima. Alipoanza sikujua but nilisha ngaa anapiga simu huku akiwa mwing wa furaha ananiambai dada yangu siamni sasa hivi naifurahia. nikamwambia Mungu huwa anaangalia haja za mioyo yetu so kila umwombacho lazima akupatie.

pia ni kwakua tu tumezoea kufanya pasi kusali lakni Mungu mwenyewe katika vitabu vyake vitakatifu ameagiza uombea tendo hili wenzetu waislamu wanawazidi katika hili manake wao huwa wanaombeaaa laknai siye wakristo tunabaki tu eti hadi wakati nataka mtoto. ifanye kuwa ni routine tamka hata msitari mmoja b4 the action halafu utaona raha ya tendo lenyewe.

Hapo pekundu sasa nimekuelewa vizuri gfsonwin, kumbe hata nikiomba kimoyo moyo inatosha! Basi mwenzio nilidhani unamaanisha ile formality kabisa ya wote wawili mnapiga magoti mnasali halafu ndo mnaanza mchezo. Ndo maana nilikuwa nashindwa kupata picha maana nilikuwa najaribu kufikiria, ukitaka cha jikoni muombe kwanza, cha bafuni muombe kwanza, cha kwenye makochi sebuleni muombe kwanza, cha asubuhi asubuhi muombe kwanza, cha sijui wapi muombe kwanza loh!

Hapo sasa nipekupata vizuri, ahsante kwa ushauri
 
karibu sana ma friend mito.
 
Last edited by a moderator:
Mimi huwa naiombea inipe maraha tele haha kuomba lazima nilifunzwa mie kitchenparty doctor
 
Du shosti, Asante kwa shule iliyoingia darasani! Uko juu kungwi wa ukweeli!

Ngoja niiombee ya Eiyer ili isibikiriwe na mwingine but me! LOL
 
kw sisi waislamu kuna dua ya kuomba wakati wa kufanya tendo la ndoa. pia hata mukiowana usiku wa mwanzo tu munatakiwa muswali tena mume ndo anakuwa imam anamswalisha mkewe
inabaraka zake kuomba kabla ya tendo la ndoa, MUNGU anajalia watoto wema
 
Mmmmh, sala inaweza isifike mwisho

utakuwa hujakusudia kusali muulize Kaizer wangu lazima kwa sala na tukimaliza sala. kumbe weye na Asprin huwa hamsali? lolest! ...........ndio maana mapenzi yanaisha hayo
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh, labda muwe mnaomba asubuhi tu mkiamka
Maana maruhani wengine wanakuja bila taarifa
hutakumbuka hata kama kuna sala
utakuwa hujakusudia kusali muulize Kaizer wangu lazima kwa sala na tukimaliza sala. kumbe weye na Asprin huwa hamsali? lolest! ...........ndio maana mapenzi yanaisha hayo
 
let me try to imagine:
E Mola mwingi wa rehema,mimi bishanga na mpenzi wangu The secretary, tunajileta mbele yako e Baba,unavyotuona ndo tushavua nguo,sasa Baba wa mbinguni tunaomba niniliyu ya Bishanga pamoja na kwamba imefungwa POP isisinyae katikati ya tendo,e Baba na ikifyatua risasi ziwe za uzao mwema.......

na mkimaliza:

E Baba ona wanao tulivyolegea,tunasikia kiu,hata nguvu ya kwenda kwenye jokofu hatuna,tunaomba e Baba kama mmoja wetu ana vidudu visihamie kwingine......

dah! gfsonwin una mambo!
 
Bishanga hiyo hiyo inafaa sana manake Mungu huangalia moyo wa uliye muomba na anatimiza haja za mioyo yetu lolest. its good to pray before and after love making na hii hupunguza incidence za kuanguka majaribuni sana tu. it has worked to me.
 
weka sampo ya sala yako hapa...lol!
 
weka sampo ya sala yako hapa...lol!

sala kabla ya tendo la ndoa
Mungu baba, mwing wa rehema na upendo tunakushukuru sana kwa ajili ya upendo wako katikati yet. Zaidi sana tunakushukuru kwa kutufanya gf na gy kuwa mwili mmoja na sasa tupo mbele zako kwa ajili ya kutimiza haja zetu na matamanio yetu ya kimwili.Tunakuomba uwe katikati yetu tendo hili tulifurahie na tujitoe kwa upendo na uaminifu wakati wote tutakapo shiriki tendo hili. Tunamkemea shetani aletaye roho za kutokuwa na kiasi na tunaharibu mipango yake yote katikati ya ndoa yetu. amen

sala baada ya tendo la ndoa

Mungu baba, tunakushukuru sana kwa uaminifu wako kwetu. tumetabua ya kwamba wewe Mungu ni mwaminifu kwetu na uaminifu wako unakuzunguka insi ambavyo ulikuwa pamoja na sisi toka tulipoanza kushiriki tendo hadi tunapomaliza. Asante sana kwa ajili ya miili yetu na kwa furaha na raha tuliyooipata wakati tunafanya tendo hili takatifu. Tunamtangazia Ibilisi baba wa uongo ya kwamba hatatudanganyaa tena kwakua umetuonyesha utukufu wako katika tendo hili kwa raha tuliyoipata. Sasa tunaviweka viungo vya miili yetu wakfu kwaajili yetu wenyewe na kwa ajili ya utukufu wako.
amen
 
Ni usiku mnene kama kawaida wengi wenye wenzi mmelala kupeana joto. Mimi nieona nimwache wa moyoni kidogo nije niwaulize maswali yafuatayo katika mapenzi.

je umeewahi hata siku moja kuomba ama kusali kabla na baada ya kufanya tendo la ndoa? kama ndiyo waionaje amani na raha uipatayo kwa kuliombea tendo hilo na kama hapana unaonaje karaha uzipatazo kwa kutokumtanguliza Mungu wakati wa hilo tendo?

Hahahahaa., duh hiyo Kali. Hebu nifundishe kusali sala ya kuombea hiyo kitu piliiiz:dance:
 
mi naona kama ni wanandoa inapendeza sana kama mkaliombea tendo hilo kwani kama linavyoitwa ni 'tendo la ndoa'...sasa kama uko chobingo, au mnaishi tu yaani hamjafunga ndoa, ni bora msifanye unafiki kwa Mungu wenu, nyie fanyeni mambo yenu kimyakimya basi...muachieni yeye ndiye anajua hatma ya huo uhusiano wenu...
sipati picha
unamaliza sala na kusema ameen,,,halafu unamwambia sasa mama kinachofuata ni 'chuma mboga'
geuka basi.....lol
 
let me try to imagine:
E Mola mwingi wa rehema,mimi bishanga na mpenzi wangu The secretary, tunajileta mbele yako e Baba,unavyotuona ndo tushavua nguo,sasa Baba wa mbinguni tunaomba niniliyu ya Bishanga pamoja na kwamba imefungwa POP isisinyae katikati ya tendo,e Baba na ikifyatua risasi ziwe za uzao mwema.......

na mkimaliza:

E Baba ona wanao tulivyolegea,tunasikia kiu,hata nguvu ya kwenda kwenye jokofu hatuna,tunaomba e Baba kama mmoja wetu ana vidudu visihamie kwingine......

dah! gfsonwin una mambo!

hata mpokea maombi ataweka mgomo kupokea ombi hili
 
Last edited by a moderator:
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom