CDM-Kata wanajidanganya sana uwezi kufananisha mgogoro wa Libya na Tanzania hata kidogo.
Huko kote mnaposikia wananchi wanapambana kuziangusha serikali zao kama vile Syria, Misri, Tunisia, Yemeni, Libya, Hakuna hata nchi mmoja nilizozitaja hapa mapambano yake yanaongozwa na chama cha siasa.
Tanzania hamna chama cha siasa kinachoweza kuwaunganisha Watanzania wote kuwa kitu kimoja kuweza kuleta ushawishi.
CDM hakina sifa ya kitaifa ni chama ukabila na udini, kina uwezo wa kuwaunganisha Wachagga wote Tanzania nzima kwa ilo hamna ubishi, Wananchi wenyewe bila msaada wa chama chochote cha siasa ndio wanaweza kuiondoa serikali madarakani tunaona sehemu nyingi tu duniani. Hatuwezi kuwa mateka wa Wachagga na CDM