Wenzetu walinzia Bengazi, Sisi tuanzie wapi? Chama kimoja kutawala nchi kwa miaka 50 nao ni udikteta

Sa mbona hamlianzshi?

Hao ni mavuvuzela wa kwenye mitandao ili kuendeleza kijiwe. Ni wazuri sana wa kupiga makelele na matusi humu JF lakini wakiambiwa watoke nje kila mtu anarudisha nyuma masabuli yake. Uzoefu unaonyesha waandamanaji wengi hawapo humu JF au FB.

Wanalianzisha kwa kupitia Laptop na simu zao.

Halafu cha kushangaza hawa wote wanaopiga kelele humu JF, hata hawajuani

Laptop ndiyo zilianzisha mabadiliko ya kumtoa mubaraka Misri. Usishanga kwa kuziona zinatumika bongo, bado kidogo sanaa

Hao ni mavuvuzela wa kwenye mitandao ili kuendeleza kijiwe. Ni wazuri sana wa kupiga makelele na matusi humu JF lakini wakiambiwa watoke nje kila mtu anarudisha nyuma masabuli yake. Uzoefu unaonyesha waandamanaji wengi hawapo humu JF au FB.

Vuvuzela lenu Nape limeishia wapi? Na ukuwadi wa kubadili nyeusi kuwa nyekundu?

Laptop ndiyo zilianzisha mabadiliko ya kumtoa mubaraka Misri. Usishanga kwa kuziona zinatumika bongo, bado kidogo sanaa

Yaani wewe bila aibu unalinganisha misimamo yenu legelege inayoishia kumtukana JK mitandaoni na nguvu thabiti ya umma wa vijana wa kiarabu wa Misri?

Kisichojadiliwa ni hatma ya libya kama nchi baada ya Gaddafi... Dalili zi wazi kuwa matumaini potofu ya hao wanaojiita wanamgambo wakombozi ya kuigeuza libya kuwa nchi ya asali na maziwa yatazimika siku ya kwanza tu ya wao kutwaa mamlaka...na misingi mizuri ya dola kuhudumia raia wake itamomonyoka kama mchezo mbele ya macho yao...huku mabeberu waliowahamasisha kuasi na kuwapatia kila msaada wa kufanikisha ajenda yao, wakiwageuka kweupee na kuanza kufunga mikataba ya kupora raslimali za nchi hiyo na kuhamishia ughaibuni...na hapo ndipo watakapojuta na kusaga meno na kukumbukaka kuwa HERI shetani unayemjua kuliko usiyemjua!

i

Yaani wewe bila aibu unalinganisha misimamo yenu legelege inayoishia kumtukana JK mitandaoni na nguvu thabiti ya umma wa vijana wa kiarabu wa Misri?

Kweli ccm ina vilaza, kumbe unatambua uwezo wa nguvu ya umma? Hata mbuyu ulianza kama mchicha, jk anaambiwa ukweli na kamwe hatoachwa kuambiwa. Soon from arusha to justice.

Yan wewe inaonesha dhahir kwamba ulipata div 4 form 4 na upo mtaan na huna plan B sasa unataka kuanzsha machafuko kwa 7b zczo na mcngi unashndwa kutofautsha rasilimal za libya na tanzania,yan nasoma thread yko huku natetemeka kwa kukuona ni mtu hatari..mods hi cyo thread ya kuja hewan admins ebu fanyen kaz zenu bhana,,huyu mtu n wa kupgwa ban kabsa

kama wewe unatetemeshwa na thread tu mtandaoni ngoja siku yenyewe utakaposhuhudia TIMBWILI dhidi ya ****** na magamba yake utakojoa kinyesi!!

watanzania wenye akili timam tumechoka na mfumo dhalim unaotudhalilisha.Mimi sishangai kuona baadhi ya wachangiaji wakiponda thread ya nyota ndogo.Huenda hao nao ni sehem ya mfumo au familia zao zinanufaika na mfumo dhalim uliopo.Kumbukeni kwamba hata huko ambako nguvu ya umma inaamua kujivua gamba wasaliti wapo pia. All in all CCM ni gamba tunalopaswa kujivua watanzania. ALUTA KONTINUA!!

dunia inaposhuhudia anguko la muammar qadaffi, kwa sababu tu wananchi wa nchi yake wamechoka kuona mtu mmoja na familia yake ndiyo watu sahihi wanaopashwa kuitawala Libya.

Ni wasaa sasa kama Waafrika, kama Watanzania kutizama upya aina ya udikteta na unduli tulio nao kama Waafrika. Qaddafi amefanya mengi mazuri kwa Libya: barabara, maji, umeme, elimu, kujenga misikiti na kila aina ya maisha bora kwa ajili ya wananchi wa libya.

la muhimu kutambua hapa ni kwamba bwana qaddafi amefanya haya si kwa kutoa pesa zake mfukoni: ametumia rasilimali za libya katika kufanikisha haya, jambo ambalo mlibya yeyote mwenye mapenzi mema na uzalendo kwa nchi yake. tatizo ni kuwa bwana huyu alikuwa akiamini kuwa bila yeye libya itayumba, kama magamba wanavyojiaminisha hapa kwetu.

kwa hapa Tanzania tuko chini ya udikteta. Tofauti na libya, udikteta wa hapa unafanywa na genge la watu wanaojiita chama cha mapinduzi. hawa hawajafanya lolote kwa nchi ikilinganishwa na dikteta-mtu qaddafi. miaka hamsini hatuna umeme, hatuna barabara za maana, hatuna huduma bora za afya na elimu yetu ni bora elimu.

ccm ni dikteta kama qaddafi au hosni mubarack.

kuna haja ya kuing'oa ccm kwa njia yoyote ile ili kama taifa tuanze upya.

tupeane mawazo tufanyeje.

wenzetu walianzia Bengazi.

Sisi tuanzie wapi?

Si mulishalianzisha Arusha, muliishia wapi?

kama wewe unatetemeshwa na thread tu mtandaoni ngoja siku yenyewe utakaposhuhudia TIMBWILI dhidi ya ****** na magamba yake utakojoa kinyesi!!

Timbwili gani bwana,vi timbwili tu. pale Arusha mmekula kisago cha kufa mtu.fani yenu nyie ni wizi wa magari tu.

Nyota ndogo na akili yako pia ni ndogo sasa kwa unavyofikiria tukipigana si tutaharibu hata hivi vichache vinavyotubeba usitake kuiga libya watarecover soon imagine wanaproduce 1.2 mil barrels za oil per day sasa sisi tutauza gnld kufikia hivyo??

Ushauri watu wamehamasika kujiandikisha kupiga kura fanya bidii kuwashawishi wote watakaojiandikisha wapige kura

mkuu tukipigana tutazidi kuwa maskini lets find njia bora tujaribu kutumia akili zaidi!

Tafakari baada ya watu kufa kenya je Raila amefanya nini cha maana tofauti na kibaki mpaka sasa?

woga wako umaskini wako.! Usijifikirie wewe mwenyewe

YES, inawezekana

Ila Watanzania ni waoga sana.

Kwenye ile mada nyingine imeandikwa maandamano ya amani nchi nzima.

Watu wakachangia tuandike vipeperusha vya maovu ya ccm ili watu wa vijijini nao waunge mkono.

Hapa tunaongea tu hakuna mkakati.

Naomba tufunge hii topic maana tunatiana hasira tu na uchungu mwisho wake naenda kujidunga na Gordon au bacadi inipe ganzi nilale

dunia inaposhuhudia anguko la muammar qadaffi, kwa sababu tu wananchi wa nchi yake wamechoka kuona mtu mmoja na familia yake ndiyo watu sahihi wanaopashwa kuitawala Libya.

Ni wasaa sasa kama Waafrika, kama Watanzania kutizama upya aina ya udikteta na unduli tulio nao kama Waafrika. Qaddafi amefanya mengi mazuri kwa Libya: barabara, maji, umeme, elimu, kujenga misikiti na kila aina ya maisha bora kwa ajili ya wananchi wa libya.

la muhimu kutambua hapa ni kwamba bwana qaddafi amefanya haya si kwa kutoa pesa zake mfukoni: ametumia rasilimali za libya katika kufanikisha haya, jambo ambalo mlibya yeyote mwenye mapenzi mema na uzalendo kwa nchi yake. tatizo ni kuwa bwana huyu alikuwa akiamini kuwa bila yeye libya itayumba, kama magamba wanavyojiaminisha hapa kwetu.

kwa hapa Tanzania tuko chini ya udikteta. Tofauti na libya, udikteta wa hapa unafanywa na genge la watu wanaojiita chama cha mapinduzi. hawa hawajafanya lolote kwa nchi ikilinganishwa na dikteta-mtu qaddafi. miaka hamsini hatuna umeme, hatuna barabara za maana, hatuna huduma bora za afya na elimu yetu ni bora elimu.

ccm ni dikteta kama qaddafi au hosni mubarack.

kuna haja ya kuing'oa ccm kwa njia yoyote ile ili kama taifa tuanze upya.

tupeane mawazo tufanyeje.

wenzetu walianzia Bengazi.

Sisi tuanzie wapi?

Tusubiri mkutano wao ule wa kubeba watu kutoka sehemu mbali mbali tuanzie hapo hapo. Watu wameichoka ccm, hata mabalozi wa nyumba kumi hawataki kukisikia wanakuwa na kimbelembele wanapojua kuna chochote.

Timbwili gani bwana,vi timbwili tu. pale Arusha mmekula kisago cha kufa mtu.fani yenu nyie ni wizi wa magari tu.

Eti eeeh.....! Ila angalia wacje wakaiba masaburi yako pindi kazi znapokosekana...

Mie naona tuanzie zanzibar maana ccm wamekalia **** moja kule mda wowote wataondoka kabsaa.

Nyota ndogo na akili yako pia ni ndogo sasa kwa unavyofikiria tukipigana si tutaharibu hata hivi vichache vinavyotubeba usitake kuiga libya watarecover soon imagine wanaproduce 1.2 mil barrels za oil per day sasa sisi tutauza gnld kufikia hivyo??Ushauri watu wamehamasika kujiandikisha kupiga kura fanya bidii kuwashawishi wote watakaojiandikisha wapige kuramkuu tukipigana tutazidi kuwa maskini lets find njia bora tujaribu kutumia akili zaidi!Tafakari baada ya watu kufa kenya je Raila amefanya nini cha maana tofauti na kibaki mpaka sasa?
Wacha kufundisha watu woga, kufurahia matunda ya nchi yako ni haki yako, na haki haiji kiulaini kama unavyofikiri. sas hebu sema hiyo akili ni ipi? Kupiga kura? afu zikiibwa? watu watulie ndo akili unayosema? Hebu tumia yako ikusaidie wewe mwenyewe ila haisaiddi wengine/

Back
Top Bottom