Wenzetu walinzia Bengazi, Sisi tuanzie wapi? Chama kimoja kutawala nchi kwa miaka 50 nao ni udikteta

acha woga mtu wangu. mafanikio hayji kirahisi. kaulize wale wote waliofanikiwa kimaisha ama zile nchi zilizoemdelea lazima kuna historia inayoonyesha ugume wa yale mafanikio.
 
Tofauti ya Libya na Tanzania ni moja.
Sisi wa Tanzania hatuwezi kuwa mateka wa Wachagga labda waongee na Nato na US wawasaidie CDM na Wachagga wote Tanzania na bado sisi wapenda amani tutawamaliza vibaya.
Tunawajua Wachagga wanapoishi ni Kimara Temboni na Kimara Bonyokwa tunaanza na huko jaribuni muone

CDM-Kata wanajidanganya sana uwezi kufananisha mgogoro wa Libya na Tanzania hata kidogo.
Huko kote mnaposikia wananchi wanapambana kuziangusha serikali zao kama vile Syria, Misri, Tunisia, Yemeni, Libya, Hakuna hata nchi mmoja nilizozitaja hapa mapambano yake yanaongozwa na chama cha siasa.
Tanzania hamna chama cha siasa kinachoweza kuwaunganisha Watanzania wote kuwa kitu kimoja kuweza kuleta ushawishi.
CDM hakina sifa ya kitaifa ni chama ukabila na udini, kina uwezo wa kuwaunganisha Wachagga wote Tanzania nzima kwa ilo hamna ubishi, Wananchi wenyewe bila msaada wa chama chochote cha siasa ndio wanaweza kuiondoa serikali madarakani tunaona sehemu nyingi tu duniani. Hatuwezi kuwa mateka wa Wachagga na CDM

Naona una visa na beef na wachaga na Chadema!! Kwenye bluu ninakubaliana nawe kwamba mapinduzi ya kuiangusha serikali uwa yanafanikiwa kwa kiwango kikubwa kama wananchi wenyewe ndio watakua mstari wa mbele na si chama cha siasa!! Ni rahisi kwa serikali iliyo mbioni kuangushwa ku crack down the opposition parties na viongozi wake kama wakianzisha mapinduzi hayo (kumbuka kilichotokea Iran) kuliko ku crack down the public kama wakianzisha mapinduzi hayo!
 
<br />
<br />
Nyota ndogo na akili yako pia ni ndogo sasa kwa unavyofikiria tukipigana si tutaharibu hata hivi vichache vinavyotubeba usitake kuiga libya watarecover soon imagine wanaproduce 1.2 mil barrels za oil per day sasa sisi tutauza gnld kufikia hivyo??
Ushauri watu wamehamasika kujiandikisha kupiga kura fanya bidii kuwashawishi wote watakaojiandikisha wapige kura
mkuu tukipigana tutazidi kuwa maskini lets find njia bora tujaribu kutumia akili zaidi!
Tafakari baada ya watu kufa kenya je Raila amefanya nini cha maana tofauti na kibaki mpaka sasa?
Njia zipo nying.Si lazma tufanye kama Libya au misr, tunaweza chagua njia nyngne at the end tukafikia tunapopahitaji.
CCm ni dikteta ila haujafkia wa Gaddaf. Si nyie mlichagua CCM kwa kuhofia amani????..
 
hivi ww unajua maana ya udictator lakini..,yaani nchi ina uchaguzi kila five years ina wabunge wa upinzani kibao....., i think ww unatumia MASABURI kufikiri kama SHIBUDA
 
Bengaz yetu ni Viwanja vya NMC-Arusha
Mwanza ni pale ofisi ya jiji walipotaka kuchakachua.
Kwa Dar ni mnazi mmoja
 
Bengaz yetu ni&nbsp; Viwanja vya NMC-Arusha <BR>Mwanza ni pale ofisi ya jiji walipotaka kuchakachua.<BR>Kwa Dar ni mnazi mmoja
 
Back
Top Bottom