AmeeeeeeeeeeeeeeenUmempotezea muda emmy kisa huyo mpuuzi ulompata ukiwa na uwezo.
Mungu naomba akupige kiboko, ukimuoa huyo mpya azae mtoto wa x wake, asiwaheshimu wazazi wako, lakini pia ndani asikujali, kazi zote afanye house girl, akutese ndani, atoke na boss wake, simu yake usiiguse uione kama kituo cha police, ukose amani ya ndoa. Utamani kumuacha. Akuvuruge mpaka umpe taraka, hutwo tumali twako mtugawane kati, urudi kama alivyokukuta emmy.
Wote tunao amini maombi haya tuseme ameeeeeena.
Basi huyo mwanamke kakufanya uache mpango wa kumuoa Emmy sio kwamba ulikua huna mpango wa kumuoa EmmyIlikuwa bado mkuu sijampata nimempata hivi karibunii
We mbwa kweli Hilo neno ndio farajaNashukuru mkuu kwa kunipa faraja
Kumbe unaoa kwa bahatiHuyu mpenz wangu mpya mbali na kuvaa ni mzuri sana kuanzia rangi yake sioni kitu cha kunizuia nisimuoe wakati mwenyewe kanikubali hata sikutegemea siwezi poteza hii bahati wakuu huyu mtoto ni chombo haswaa
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah kwanza sa hivi nikiachwa sitakuwa na muda wa kuwaza sana
Niko na spares za kutosha
Mtoa uzi soma hapa kwa umakini.Du na huyu mke mtarajiwa si ajabu hajakupenda wewe kivile. Kuna mtu anaempenda zaidi lakini hajawahi kumtamkia ndoa.
😀😀😀😀Mbaya zaidi Emmy aolewe na boss wake mpya 🤣🤣🤣
mkuu acha roho mbaya..oa mwanamke anaekupenda sio unaempenda utakufa mapema saanaaKuwa mchepuko hataki na mbaya zaidi tulianza nikiwa na hali mbaya now kidogo mambo safi anahisi namuacha kwa sababu hiyo
Huoni kama hii njia inaumiza zaidi mkuu.Ulikosea kumwambia ,ungemuonyesha vitendo kwa kupunguza mawasiliano kidogokidogo
Boy, remember karma is a bitchKipindi cha miaka miwili nyuma nilipata demu kwa jina Emmy huyu dada sikumpenda ila nilimtongoza kwakua nilikuwa na uhitaji wa huduma mara kwa mara kabla sijampata mpenzi wa maisha
Emmy alinizoea sana na ndani ya miaka miwili upendo wake kwangu ulikuwa juu sana kuliko awali na akaanza kuzungumzia plan za baadaye na mimi kitu ambacho kilianza kuniwazisha kwan sikuwa na mipango hiyo.
Sasa juzi hapa niliamua kumwandikia message kumwambia mm nategemea kuoa mwakani nimeshapata mtu mwengne aisee huyu dada alilia sana na kutoa lawama mpaka nikajihisi mimi ni shetani yaani kila ninavyojitahidi kumbenbeleza maneno anayoniambia ni yananichina maana alipiga, simu akiwa anaongea analia et "muda wote ulikuwa unanichezea gwele kumbe huna malengo na mimi" yaani najikuta namuonea huruma maana hajanikosea ila simpend tu tayari nina mke wangu mtarajiwa na nampenda sana. Hebu naomba msaada wa kuachana na Emmy na kuziepuka hizi laana nitumie mbinu gani wajameni
Gentleman huwa hasemi its over unaishia kimyakimya huwezi jua kesho na keshokutwa atakufaa wapiHuoni kama hii njia inaumiza zaidi mkuu.
dah sidhani kama naweza man, sidhani kama nitaweza kuanza kuzurura zura kumzungiusha mtu, yani namwambia hapo hapo na nafikiri ataanza kudeal nalo mapemaGentleman huwa hasemi its over unaishia kimyakimya huwezi jua kesho na keshokutwa atakufaa wapi
[emoji23]Muoe tu, kwani ana kasoro gani? Yeye sio mwanamke?