Wenzangu mnawezaje kuacha?

Acha uzinzi wewee...
 
Niko gado, ila mimi sio mzee mkuu.

Bado sijafikisha miaka 45.
Ok sawa
Njia za panya sio nzr maana utateseka sanaaa
Coz watu wanazamia bahari wanakuwa kama wakimbizi mkikamatwa na marine police wengine ni bangi wanawatosa baharini mliwe na samaki
We fuata utaratibu anzia uhamiaji kisha nenda ubalozi wa Denmark
Pole ubalozini kuna urasimu kidogo watataka sababu za wewe kuja huku
 
Nyie ndo type ya wanaume ambao mnasababisha wanaume wote TUITWE MBWA.Kmmk
 
Sawa, utakuwa mwenyeji wangu.
 
Jamaa ulikuwa tu unataka tu labia majora na labia minora
 
Kwa nguvu zako hauwezi kushinda dhambi kama zinaa ila kwa msaada wa YESU KRISTO baada kumwomba Mungu akuokoe kama Mimi !

 
[emoji23]
 
Duuuh[emoji17][emoji17]moto wako ni special tofauti na wetu kaka
 
Hyo karma itakayokurudia. Utajuta
 
Mapenzi ni upofu bro usijiamini saaana kwa huyo mpya ulionae !!! Then kitu kingine midomo ya wengi ikiongea maneno hugeuka Dua Cha kukushauri usimwache huyo Emmy trust me karma humrudia mtenda[emoji1431][emoji1431]
Siko kwa ajili ya kukuombea mabaya lakin[emoji16] sometimes a fool can be a judge or a lawyer !!! Think forward sio miguuni kwako tu kesho yako inaubwa na watu na Dua zao[emoji1431][emoji1431][emoji419][emoji419][emoji16]
 
Duh.....!
 
Tears means that was a deep love from the inner soul.

I can tell you, I was you 2 years ago and now I got what I wanted.

You're dumping what loves you now, the time will come when you'll be chasing what you love. Life is a cycle.

Good luck to your decisions.
Emotions Vs real love.
 
kijana hapo umefanya vibaya mno. laana zinakuhusu hizo usiombe ushauri hapa wakati umeshaharibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…