Wenzangu mnawapendaje mama zenu?

Wakati mnatakiwa kujenga bond ya upendo ulikuwa mbali na yeye and now it's too late.

Hata hivyo, wazazi wetu baadhi nao wamekuwa wapenda pesa sana, usipompa kwa mda(kwa sababu na wewe unajijenga kiuchumi), anaweza kuhisi humpendi ndio maana humkumbuki kwa mbesa.
 
Mzazi anayajitambua hawezi kumpenda mtoto eti kisa ANAMJALI. Mzazi wa hivyo na wa mwendokasi na yupo kimaslahi kwa mtoto wake.

Kumbuka pia wapo wazazi ambao wapo kimaslahi sana kwa watoto, nina mifano ila hapa sio mahali pa kuisemea.
 
Too late eeh? Kwa hiyo sasa hivi siwezi kubadili chochote? Nakubaliana na wewe hapo kwenye pesa ila niligundua mama ananichukulia hivi tangu nikiwa nasoma
 
Wazazi wakiwa na hela mbona stori zitakuja tu. Wakiwa ndu vile unaogopa hata kuwapigia wasikuombe hela, aaaacha acha hizo bhana timiza wajibu kwa wazee
 
Yeah, could be too late to bond labda uwe mo, manji au bakhressa. Wajua wazazi wanawapenda watoto wenye pesa automatically!!!
 
Wazazi wakiwa na hela mbona stori sitakuja tu. Wakiwa ndu vile unaogopa hata kuwapigia wasikuombe hela, aaaacha acha hizo bhana timiza wajibu kwa wazee
Duuh uogope kuwapigia wazazi kisa unaogopwa kuombwa pesa?

Mtu wa namna hii hata urafiki naye staki maana atakuwa mwongo mwongo tu.

Mzazi anatakiwa ajue hali yako na ukweli aujue.
 
Wazazi wakiwa na hela mbona stori zitakuja tu. Wakiwa ndu vile unaogopa hata kuwapigia wasikuombe hela, aaaacha acha hizo bhana timiza wajibu kwa wazee
[emoji23] [emoji23] haya bwana
 
Yeah, could be too late to bond labda uwe mo, manji au bakhressa. Wajua wazazi wanawapenda watoto wenye pesa automatically!!!
[emoji23] [emoji23]
 
Duuh uogope kuwapigia wazazi kisa unaogopwa kuombwa pesa?

Mtu wa namna hii hata urafiki naye staki maana atakuwa mwongo mwongo tu.

Mzazi anatakiwa ajue hali yako na ukweli aujue.
Kuna vijana wenzetu wanaishi maisha ya kuiga, kipato kidogo wanajifanya mapapaa wakiombwa hela na wazazi wanazima simu wanasingizia chaji imekata au wako busy kazini duh aibuuuuuuu
 
Umzimie mzazi simu kisa kuombwa hela? Mimi huwa ni muwazi sana kwa wazazi wangu
 
Kuna vijana wenzetu wanaishi maisha ya kuiga, kipato kidogo wanajifanya mapapaa wakiombwa hela na wazazi wanazima simu wanasingizia chaji imekata au wako busy kazini duh aibuuuuuuu
Mbaya Sana maana ukiweza kuwa msanii kwa mzazi basi hakuna utakaloshindwa kudanganya.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…