Wenzangu mnawapendaje mama zenu?

Amen mkemwenza nitajitahidi
 
Huo umeme una mahusiano na michepuko yako? Kwangu sina uhakika kama upo, ila huku nilipo upo.
Kwa hiyo hautaki kuchengeshewa mada...

Sina michepuko bwana Wi-Fi yako anajijua usimweeke roho juu kama abiria aliyemisplace ticket.
 
Pole mpendwa kama unampenda kweli na moyo wako una amani haina shida labda mama kw sasa yy ndo anatamani uwepo wako zaidi yani uwe nae. Sasa na maisha nayo yanaenda kasi huwezi kukaa nae full time, but all in all wewe endelea kumpenda usimdis appoint.
 
Kwa hiyo hautaki kuchengeshewa mada...

Sina michepuko bwana Wi-Fi yako anajijua usimweeke roho juu kama abiria aliyemisplace ticket.
Wifi yangu ni yupi kwanza?
 
upendo wa mama kwa mtoto huwa hauna kipimo na hauna wa kulinganishwa nae, wengine watakupenda lakini hautokaa ulingane na wa mama...
 
Kwa hiyo hautaki kuchengeshewa mada...

Sina michepuko bwana Wi-Fi yako anajijua usimweeke roho juu kama abiria aliyemisplace ticket.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Amen dear
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…