Wenzangu mnaishije na jirani anayefungulia sabufa hadi mwisho

Godoro la kioo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
456
Reaction score
998
Salam wakuu . moja kwa moja kwenye mada

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na jirani ambae ana tabia ya kufungulia bufa hadi mwisho

Maana hapa naona kama uvumilivu unaelekea kunishinda

kama kuongea nishaongea sana lakini naona kama vile sijui ananichukuliaje

Tushaitisha kikao mara kadhaa hadi kumshirikisha mwenye nyumba na akaahidi atajirekebisha

Kweli akapunguza lakini naona ameanza tena kujisahau

Sasa kitu nachofikiria kumfanya naziona kabisa dalili za kugawana majengo ya serikali

Kabla sijaamua kitu nachofikiria naombeni kwanza mniambie

Je, ni sahihi kwa mtu kupiga mziki hadi saa nne usiku kwa kigezo kuwa analipia hela

Na je mtu kama huyu wewe kama wewe una dili nae vp
 
kuna dogo alikuwa anahiyo tabia anafungulia bufa keleletu, nikaongea nae akawa anaendelea tu na makelele yake, basi hakujua mimi nina sony home theater namcheki tu anavyoleta dharau.

kuna siku akafungulia na mimi nikamuwashia ebanaee mziki wake ukamezwa ukawa hausikiki nikaona amezima bila hata ya kumwambia tena, na toka siku hiyo hakuwahi kupiga muziki sauti ya juu
 
Kama ulimwambia na bado anaendelea achana naye tu kaa
 
kuna dogo alikuwa anahiyo tabia anafungulia bufa keleletu, nikaongea nae akawa anaendelea tu na makelele yake, basi hakujua mimi nina sony home theater namcheki tu anavyoleta dharau.

kuna siku akafungulia na mimi nikamuwashia ebanaee mziki wake ukamezwa ukawa hausikiki nikaona amezima bila hata ya kumwambia tena, na toka siku hiyo hakuwahi kupiga muziki sauti ya juu
Hapa nilipo tupo wapangaji nane sasa kama tukisema wote tushindane kwa kufungulia sauti hadi mwisho wote si tutaonekana vichaa
 
Salam wakuu . moja kwa moja kwenye mada

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na jirani ambae ana tabia ya kufungulia bufa hadi mwisho

Maana hapa naona kama uvumilivu unaelekea kunishinda

kama kuongea nishaongea sana lakini naona kama vile sijui ananichukuliaje

Tushaitisha kikao mara kadhaa hadi kumshirikisha mwenye nyumba na akaahidi atajirekebisha

Kweli akapunguza lakini naona ameanza tena kujisahau

Sasa kitu nachofikiria kumfanya naziona kabisa dalili za kugawana majengo ya serikali

Kabla sijaamua kitu nachofikiria naombeni kwanza mniambie

Je, ni sahihi kwa mtu kupiga mziki hadi saa nne usiku kwa kigezo kuwa analipia hela

Na je mtu kama huyu wewe kama wewe una dili nae vp
Hakuna haja ya kugawana majengo
Fanya hivi
Kanunue pilipili ya unga nusu kilo na mkaa wa buku mbili

Mwache apige mziki wake mpaka achoke.. Akimaliza na kujiandaa kulala wewe washa mkaa uiikolea mwaga pilipili funga chumba chako toka nje
 
Back
Top Bottom