Mrs ma2mbo
Member
- Dec 27, 2011
- 49
- 23
Heri yangu mume wangu sio memba jf...
Aaah! Unaharibu sasa! Nani kakwambia ujitaje? Ole wako uanze kukodolewa macho na vishankupe!Mbona nimo au hunijui?
umegunduaje au kuna Id unazitilia shaka? Kama vipi ziexpose
Aaah! Unaharibu sasa! Nani kakwambia ujitaje? Ole wako uanze kukodolewa macho na vishankupe!
uku tupo great thinkers tunachanganua hoja basi!
uku tupo great thinkers tunachanganua hoja basi!
Kaaaazi kweli kweli!!
Yale yale ya multipe IDs. . . mbona hukuanzisha hii thread na ID yako ya siku zote ili watu waamini unachosema? Au wewe ndio mwizi na unaemuabia kashajua(labda mume kakata hata mawasiliano na wewe kwa muda) sasa unamtafuta unaemuibia kijanja?
Heri yangu mume wangu sio memba jf...
mara oooh ngoja niwaelekeze kupika na kupika kwenyewe hamjui...mara oooh sijui masagge.
Hakuna lolote kumendea tu waume za watu.
Ndo nataka nivione hivyo vinshankupe maana navisikiaga ila mimi nikisiki sing'olewi
Sijawahi kuona hoja ya Maana ikichambuliwa MMU
Hahahaha. . . UNALO.
Chukua maujanja hayo usije ukaibiwa hata na mama ntilie.